Zanzibar yaweka marufuku ya kuuza vyakula wakati wa Ramadhan

Bora warudi bara...nashangaa unapapendaje Zanzibar wakati ni mji uliokufa kama kilwa, bagamoyo e.t.c Hii ni miji ilitakuwa ibaki kuwa makumbusho tu.

Kama Zanzibar nchi lakini haija hata lift moja inayofanya kazi. Watu wananing'inia kwenye magorofa mabovu na yananuka Dunia nzima.

C'moooon Kama Kuna mbara anakomalia Zanzibar namuonea huruma. Bora niende Uganda kutafuta maisha na kuishi kuliko kukaa kwenye kisiwa chenye magofu Kama Bagamoyo au Kilwa tu.

Sikai jumba la makumbusho hata siku moja Mimi.
Sasa mbona wabara wanakuja kulialia huku
 
Warudi kwao eti?Tukiamua kufanya ubaguzi ninyi visogo-chapati mtapona?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wazanzibar wabaguzi saana Yani mtu akisikia wewe ni dini tofauti na yeye anakuona Kama hutoboi mbinguni na usikae nae karibu... Kafir mkubwa.

Wanamuona Mungu kama anawajua kwa majina kwa wao kuamua kuwa wasilamu.

Wanakera saana.
 
Bora warudi bara...nashangaa unapapendaje Zanzibar wakati ni mji uliokufa kama kilwa, bagamoyo e.t.c Hii ni miji ilitakuwa ibaki kuwa makumbusho tu.

Kama Zanzibar nchi lakini haija hata lift moja inayofanya kazi. Watu wananing'inia kwenye magorofa mabovu na yananuka Dunia nzima.

C'moooon Kama Kuna mbara anakomalia Zanzibar namuonea huruma. Bora niende Uganda kutafuta maisha na kuishi kuliko kukaa kwenye kisiwa chenye magofu Kama Bagamoyo au Kilwa tu.

Sikai jumba la makumbusho hata siku moja Mimi.
Bila fukwe na hoteli za kitalii..hakuna mji mbovu kama zenji..bora mtu ukaishi hata mafia huko ama chiwata...pamenyata sana.

Sema nink tunadumisha muungano

#MaendeleoHayanaChama
 
Naona tayari sensa ya makazi ushaifanya na takwimu unazo.

Tupe asilimia ngapi huko..ukitoka pitia Google uje na mjibu.

#MaendeleoHayanaChama
Mzee ukienda hospital huulizwagi Dini yako kwenye kadi?
Halafu Google Ni mtandao wa makafiri
 
Wazanzibar wabaguzi saana Yani mtu akisikia wewe ni dini tofauti na yeye anakuona Kama hutoboi mbinguni na usikae nae karibu... Kafir mkubwa.

Wanamuona Mungu kama anawajua kwa majina kwa wao kuamua kuwa wasilamu.

Wanakera saana.
Wengi wa aina hiyo..hawana exposure pia ni vilaza kichwani.

#MaendeleoHayanaChama
 
Naona tayari sensa ya makazi ushaifanya na takwimu unazo.

Tupe asilimia ngapi huko..ukitoka pitia Google uje na mjibu.

#MaendeleoHayanaChama

Mkuu had chiwata tena[emoji23][emoji23][emoji23]c bora ngalinje
 
Wazanzibar wabaguzi saana Yani mtu akisikia wewe ni dini tofauti na yeye anakuona Kama hutoboi mbinguni na usikae nae karibu... Kafir mkubwa.

Wanamuona Mungu kama anawajua kwa majina kwa wao kuamua kuwa wasilamu.

Wanakera saana.
Ndiyo maana wamebarikiwa "akili" sana.Hivihivi,hii dunia isingekalika.
 
Back
Top Bottom