Khalu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 523
- 567
Na pia kuna waislamu ambao wanaruhusiwa kutokufunga (kisheria) kama wasafiri, wagonjwa, watoto, wazee, wanawake waliopo kwenye ada zao, na wajawazito au wanaonyonyesha n.kHujakatazwa kula kwako kama mwenye biashara yake kafunga apate utulivu na mola wake sasa wewe kinakusumbuan nii.
Hawa nao wanaingia kwenye hili katazo.
Lakini watu baada ya kuona katazo tu basi moja kwa moja wanaona limewalenga wasiokuwa waislamu.
Na vipi muislamu ambaye anaacha biashara yake ya chakula kupisha mwezi mtukufu, huyu naye hataki kipiga pesa ili awakomoe wasiokuwa waislamu?
Hii dini ya haki haimkandamizi yeyote.