Zanzibar yaweka marufuku ya kuuza vyakula wakati wa Ramadhan

Zanzibar yaweka marufuku ya kuuza vyakula wakati wa Ramadhan

Dunia ipo salama? Au Dunia unadham inaanzia na kuishia hapo hapo kwako Bonyokwa? Mataifa kibao yamevurugwa watu wanakufa kwa maelfu unasema ipo salama kwa kuwa unaweza kutoka hapo ulipo kwenda kununua Vocha kwa mangi na kuja ku post
Hawa watu wana matatzo sana Dunia ipo salama ikiongozwa na mzungu ingeongozwa na waarabu tungekoma
 
Kula ni rehema yake Mola kwa viumbe wake

Kuna Watu wapo ICU wanamiliki Maghala ya chakula lakin vijiko viwili vya uji vimegoma kupita kwny Koo
Huwa wanabadili ratiba ya mlo kutoka mchana kwenda usiku..

Mana jua likizama tu wanakula usiku kucha kama viwavijeshi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ivi nani alikuwa anauhitaji Muungano, Kati ya Nyerere na Karume,

Nahisi Bara walipigwa na kitu kizito kipindi hicho,
Na je, Siasa za Ujamaa na vyama vya ushirika vilikuwepo na huko Zanzibar?
 
Unaona sasa.

Sehemu ambapo mpo wengi hamtaki kuheshimu haki za wachache ila sehemu ambapo wapo wachache (minority) wanataka haki zao ziheshimiwe !
Kwani hapo kuna haki gani iliyovunjwa?
 
SI MNAONA HAWA MAAMUMA WASIVYOKUWA NA AKILI?? WANAJIONA WANA HAKI HAWA WAKATI NDO WANAONGOZA KWA KUWAHARIBU VIJANA WADOGO WANAOSOMA MADRASA

NARUDIA TENA BORA MZUNGU AENDELEE KUITAWALA DUNIA HAWA WASHENZI WA KIARABU NA WALE WANAOFUATA MAFUNDISHO YA KIARABU WANA ROHO MBAYA SANA HAWA.
Punguza jazba, mbona unachukulia mambo personal kana kwamba hili katazo umeambiwa wewe ndio ulitekeleze.
 
Bila fitna Za wakoloni wa CCM Zanzibar ingekuwa Qatar

Wacha wee!
Mnang’ang’ania hayo Magofu hapo stone town eti kivutio cha Utalii? UNESCO wanawazuia kubadilisha Madhari ya Nchi yenu kwa Kigezo Cha historia?

Waoman waliwapa nini nyie?
Ukifika Zanzibar unakutana na Magofu ya waoman?

Leo mnataka kujifananisha na Qatar?

Hao wazungu wakija hapo Zenji wanakaa Hotel za 5star, hayo Magofu yenu wala hawana muda nayo.

badilikeni Wazenji, nyinyi sio Jamhuri ya Kiislamu na Hamtakuwa.
 
Kama Ni hivyo mbona Bara ndo mnaing'ang'ania Zanzibar??
By the way ubongo wa nyuma una maajabu Gani?
Unasema hatujasoma haya wewe msomi niambie. Ubongo wa nyuma yani
Cerebellum,brainstem,pons Na medulla oblongata Ina vitu Gani special?
Kama wa bara wanang'ang'ania na hamnufaiki si mkatae tu au nn kinawazuia,au kwanini kiongozi wenu alikubali huu muungano
 
Kwahiyo ambao watakuwa hawafungi kwa wakati huo hawatakula
Usile hadharani, kuna waislam kibao hawafungi kutokana na sababu mbalimbali unachoshauriwa ni kutoķula hadharani, znz nchi ya wenyewe
 
Mwarabu sehemu yeyote aliyokaa na kutawala Africa Kuna vita, njaa na ujinga mkubwa saana.

Mwarabu Hana akili tu Kama mwafrica.

Mwarabu simkubali saana.
Usipomkubali mwarabu yeye anapungukiwa nini?
 
Back
Top Bottom