Dunia ipo salama? Au Dunia unadham inaanzia na kuishia hapo hapo kwako Bonyokwa? Mataifa kibao yamevurugwa watu wanakufa kwa maelfu unasema ipo salama kwa kuwa unaweza kutoka hapo ulipo kwenda kununua Vocha kwa mangi na kuja ku post
Hawa watu wana matatzo sana Dunia ipo salama ikiongozwa na mzungu ingeongozwa na waarabu tungekoma