Zanzibar yaweka marufuku ya kuuza vyakula wakati wa Ramadhan

Zanzibar yaweka marufuku ya kuuza vyakula wakati wa Ramadhan

Swadakta zanzibar ni nchi ya kiislamu lazima isimamie misingi ya dini ya kiislamu ngoja wanaofungisha ndoa za jinsia moja kanisani na kuvaa nusu uchi wakienda kuabudu na wanakula mnyama mwenye hedhi .
Hapo umewakusanya kwenye kijiwe cha kahawa huku unasindikizia kashata unaonekana mtu wa maana sana.
 
Nyie ambao sio makafiri kwanini mmeshindwa kuunda search engine yenu mnatumia google ya makafiri,au akili zenu ndio zimeishia kwenye kutukana tu?
Wakigombana nchini kwao wanakimbilia huko huko wanakosema kuna ushoga, ila hatuoni mashoga wakikimbilia kwenye uislam
 
Twende Kwa facts.... ubongo wa nyuma unaaffect Nini uwezo wa kufikiria??
Ndugu yangu nirudie tena. Kama huoni advantage ya ubongo na vile unaplay part kwenye ubongo wote kiujumla basi hakuna haja ya kuilaumu NECTA.
 
Ni kweli sababu... Tunawang'ang'ani tuwafokoe sababu ni wajinga. We nchi nzima kwenye Necta hamna division one? You must be dumb and fool.

Na inafika muda unaona ubongo wa nyuma ukiwa na dysfunctional au impairment haileti shida kwenye afya ya akili.. unajielewa kweli Makame? [emoji16]
Hii ya utokua na division one ni kweli imeshawahi kutokea
 
Wacha wee!
Mnang’ang’ania hayo Magofu hapo stone town eti kivutio cha Utalii? UNESCO wanawazuia kubadilisha Madhari ya Nchi yenu kwa Kigezo Cha historia?

Waoman waliwapa nini nyie?
Ukifika Zanzibar unakutana na Magofu ya waoman?

Leo mnataka kujifananisha na Qatar?

Hao wazungu wakija hapo Zenji wanakaa Hotel za 5star, hayo Magofu yenu wala hawana muda nayo.

badilikeni Wazenji, nyinyi sio Jamhuri ya Kiislamu na Hamtakuwa.

Zanzibar asilimia zaidi ya 90 ni waisilamu.
 
Hapo ndio lile suala la cultural preservation linaposhika hatamu

Kwamba pamoja na kupenda utalii na mabadiliko bado watu wanatamani kutunza taratibu na tamaduni na mazoea ya jamii zao, hawatamani jamii yao kubadilika kabisa kitamaduni na kuwa jamii mpya ambayo haiendani na jamii yao wanavyoifahamu
 
Ndugu yangu nirudie tena. Kama huoni advantage ya ubongo na vile unaplay part kwenye ubongo wote kiujumla basi hakuna haja ya kuilaumu NECTA.
Polepole msomi... niambie ubongo wa nyuma unahusianaje Na thinking?? Bora hata ubongo wa kati
 
Bila fukwe na hoteli za kitalii..hakuna mji mbovu kama zenji..bora mtu ukaishi hata mafia huko ama chiwata...pamenyata sana.

Sema nink tunadumisha muungano

#MaendeleoHayanaChama
We mmakonde rudi kwenu
 
Hawa wazenji badala watumie nguvu kupambana na umaskini wao wanatumia nguvu kutetea na kufuata majini ya kiarabu.
 
[emoji28][emoji28] mkuu hii nchi yetu sote bara na visiwani acha tuenjoy.

#MaendeleoHayanaChama
Ni jambo dogo sana. Zanzibar wana utamaduni wao. Na huo ndio unaoitambulisha ile ni Zanzibar. Acheni uheshimiwe.
 
Swadakta zanzibar ni nchi ya kiislamu lazima isimamie misingi ya dini ya kiislamu ngoja wanaofungisha ndoa za jinsia moja kanisani na kuvaa nusu uchi wakienda kuabudu na wanakula mnyama mwenye hedhi .
Zanzibar sio nchi ya kiislamu ni nchi yenye waislamu wengi tuu. Nchi ya kiislam ni lazima ifuate sharia za kiislam kitu ambacho akiwezekani kwa sababu wapo ndani ya muungano ndio maana hata kujiunga OIC waligomewa.
 
Huijui zanzibar,nenda jengo la zrb ukapande lift.
Bora warudi bara...nashangaa unapapendaje Zanzibar wakati ni mji uliokufa kama Kilwa, Bagamoyo e.t.c Hii ni miji ilitakuwa ibaki kuwa makumbusho tu.

Kama Zanzibar nchi lakini haija hata lift moja inayofanya kazi. Watu wananing'inia kwenye magorofa mabovu na yananuka Dunia nzima.

C'moooon Kama Kuna mbara anakomalia Zanzibar namuonea huruma. Bora niende Uganda kutafuta maisha na kuishi kuliko kukaa kwenye kisiwa chenye magofu Kama Bagamoyo au Kilwa tu.

Sikai jumba la makumbusho hata siku moja Mimi.
 
Back
Top Bottom