jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Shida sio utamaduni..shida ni unafiki wazungu wanakula na kutembea nusu uchi ndani ka kisiwa bila shida..ila wanajifanya kuwakazia wamatumbi wenzao..waanze kwanza kupiga marufuku na hotel zote za kitalii zisipike chakula mchana..ndio waje kwa wamatumbi wenzao..halafu hakuna mahali katiba imesema zenji ni secular.Ni jambo dogo sana. Zanzibar wana utamaduni wao. Na huo ndio unaoitambulisha ile ni Zanzibar. Acheni uheshimiwe.
#MaendeleoHayanaChama