Zanzibar yaweka marufuku ya kuuza vyakula wakati wa Ramadhan

Zanzibar yaweka marufuku ya kuuza vyakula wakati wa Ramadhan

Bora warudi bara...nashangaa unapapendaje Zanzibar wakati ni mji uliokufa kama Kilwa, Bagamoyo e.t.c Hii ni miji ilitakuwa ibaki kuwa makumbusho tu.

Kama Zanzibar nchi lakini haija hata lift moja inayofanya kazi. Watu wananing'inia kwenye magorofa mabovu na yananuka Dunia nzima.

C'moooon Kama Kuna mbara anakomalia Zanzibar namuonea huruma. Bora niende Uganda kutafuta maisha na kuishi kuliko kukaa kwenye kisiwa chenye magofu Kama Bagamoyo au Kilwa tu.

Sikai jumba la makumbusho hata siku moja Mimi.
Raisi wa bara ni mzenji
 
Hiyo marufuku ni kwa niggers tu lkn 5 Star Hotels wanauza siyo tu chakula hata drugs na Ukahaba rukhsa!
Je, wadau wa kawaida ambao hawajafunga, kama wakristo au waislamu wenye dharura mfano wagonjwa, wafanyeje kama hawawezi kwenda kula 5 star?
 
Ivi nani alikuwa anauhitaji Muungano, Kati ya Nyerere na Karume,
Siasa za Vita baridi enzi zile zilisukuma haja ya kuwepo huu muungano.
Na je, Siasa za Ujamaa na vyama vya ushirika vilikuwepo na huko Zanzibar?
Havikuwepo kabisa.

Nahisi Bara walipigwa na kitu kizito kipindi hicho,
Inategemea unaliangalia hili suala kwa mrengo upi....wapo wanaoamini Zanzibar ilimezwa na kupoteza hadhi ya taifa ndani ya muungano.

Wapo wanaodai Tanganyika iliuawa na kupoteza hadhi yake ilihali Zanzibar ilibaki na hadhi yake.
 
Bora warudi bara...nashangaa unapapendaje Zanzibar wakati ni mji uliokufa kama Kilwa, Bagamoyo e.t.c Hii ni miji ilitakuwa ibaki kuwa makumbusho tu.

Kama Zanzibar nchi lakini haija hata lift moja inayofanya kazi. Watu wananing'inia kwenye magorofa mabovu na yananuka Dunia nzima.

C'moooon Kama Kuna mbara anakomalia Zanzibar namuonea huruma. Bora niende Uganda kutafuta maisha na kuishi kuliko kukaa kwenye kisiwa chenye magofu Kama Bagamoyo au Kilwa tu.

Sikai jumba la makumbusho hata siku moja Mimi.
Pole. Huijui Zanzibar
 
Ngoja aje shekhe wao anayeonyeshwa awaambie baada ya mfungo..waliofunga Zanzibar nzima walikuwa 5. Wengine wote wakishinda njaa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Swadakta zanzibar ni nchi ya kiislamu lazima isimamie misingi ya dini ya kiislamu ngoja wanaofungisha ndoa za jinsia moja kanisani na kuvaa nusu uchi wakienda kuabudu na wanakula mnyama mwenye hedhi .
 
Lini zenji imekua nchi ya kiislamu..no wonder una akili ndogo..

#MaendeleoHayanaChama
 
Kama Ni hivyo mbona Bara ndo mnaing'ang'ania Zanzibar??
By the way ubongo wa nyuma una maajabu Gani?
Unasema hatujasoma haya wewe msomi niambie. Ubongo wa nyuma yani
Cerebellum,brainstem,pons Na medulla oblongata Ina vitu Gani special?
Sasa ndugu yangu kama huoni uspecial wa ubongo wa nyuma hili mbona tatizo sasa. Au unatania?
 
Back
Top Bottom