Tafuta Hela
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 1,546
- 2,983
Zanzibar ni wa Afghanistan waliolendemka[emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni makafir ndio waliongia kuleta vita huko ,uko dunia ganSudan , Yemen, Somalia na Iraq wanaongozwa na wakristo?
Je, kuna amani ?
RubbishSI MNAONA HAWA MAAMUMA WASIVYOKUWA NA AKILI?? WANAJIONA WANA HAKI HAWA WAKATI NDO WANAONGOZA KWA KUWAHARIBU VIJANA WADOGO WANAOSOMA MADRASA
NARUDIA TENA BORA MZUNGU AENDELEE KUITAWALA DUNIA HAWA WASHENZI WA KIARABU NA WALE WANAOFUATA MAFUNDISHO YA KIARABU WANA ROHO MBAYA SANA HAWA.
Wale nyumbanJe, wadau wa kawaida ambao hawajafunga, kama wakristo au waislamu wenye dharura mfano wagonjwa, wafanyeje kama hawawezi kwenda kula 5 star?
Wanauza korosho..ila vipande cha ardhi hamtaki kuwapatia mlivyo na roho mbaya.Njoo uone wamakonde mlivyojazana huku Hadi keroo
Kiaridh hiki wenyew hakitutoshi NI ujinga kuwacha maelfu Kwa mama ya kilomita zilozojaa huko mjee kunyanganyiana na Sisi kaardhi umaskini WA akili maradhi mabaya SanaWanauza korosho..ila vipande cha ardhi hamtaki kuwapatia mlivyo na roho mbaya.
#MaendeleoHayanaChama
Maelekezo gani? Ikiwa upo Rome Fanya kama warome wanafanyaMila?Naamini huwa mnaenda/maishi kwa kutegemea kitabu chenu cha dini.Ni wapi kinawapa maelekezo hayo?
Kumbe hata maelekezo ya dini yako huna.Sasa kwa nini msumbue watu?Mnashindwa kuvumilia kuona mtu anakula hata mihogo mbele ya macho yenu?Maelekezo gani? Ikiwa upo Rome Fanya kama warome wanafanya
Hizo ndio Mila zetu hukatazwi Kula upendavyo lkn si HADHARANI pengine hata mm cfungi lkn nawajibika KUHESHIMU Imani ya waliowengiKumbe hata maelekezo ya dini yako huna.Sasa kwa nini msumbue watu?Mnashindwa kuvumilia kuona mtu anakula hata mihogo mbele ya macho yenu?
Mila za wapi hizo weye?Umeeleza kwamba kwenye kitabu chenu cha dini hakuna muongozo huo.Kwa hiyo mmeacha maamrisho ya dini mmejitungia hizo mila baguzi?Kwa nini wanaofunga ndiyo wasijifungie ndani kujiepusha na kupata tamaa ya kupiga msosi?Hizo ndio Mila zetu hukatazwi Kula upendavyo lkn si HADHARANI pengine hata mm cfungi lkn nawajibika KUHESHIMU Imani ya waliowengi
Wewe vipi Sisi wenyeji ndio tujifungie tukuachilieni mtambe ktk Ardhi yetu wewe utakua mgeni Sisi tumesoma na kucheza na wagalatia mbona wakiheshimu ramazani bila malalmiko yoyote nyinyi wageni kinawauma nini??Mila za wapi hizo weye?Umeeleza kwamba kwenye kitabu chenu cha dini hakuna muongozo huo.Kwa hiyo mmeacha maamrisho ya dini mmejitungia hizo mila baguzi?Kwa nini wanaofunga ndiyo wasijifungie ndani kujiepusha na kupata tamaa ya kupiga msosi?
Basi mazoea yenu ni batili hayafuati maamrisho ya dini yenu.Kama mmeamua kujianzishia tu hicho unachoita "mila" tutarajie ubatili zaidi kiendacho ukengeufu na misingi ya dini yenu.Muwe wavumilivu.Baadaye mtakataza wasio dini yenu kuvaa kwa kupendeza sasa mpaka ninyi mtoke mashambani!Wewe vipi Sisi wenyeji ndio tujifungie tukuachilieni mtambe ktk Ardhi yetu wewe utakua mgeni Sisi tumesoma na kucheza na wagalatia mbona wakiheshimu ramazani bila malalmiko yoyote nyinyi wageni kinawauma nini??
Si tulikubaliana sisi ni nchi moja na kila mtanzani a ana haki ya kuishi popote ndani ya hii nchi iwe bara hata visiwani chamsingi asivunje sheria za nchi.?Kiaridh hiki wenyew hakitutoshi NI ujinga kuwacha maelfu Kwa mama ya kilomita zilozojaa huko mjee kunyanganyiana na Sisi kaardhi umaskini WA akili maradhi mabaya Sana
Kuna kiongozi alisema angeweza angefunga kamba na kutuvutia mbali kabisaTuwape oman tu hutwo tuvisiwa.
Hawajaanza hii Leo wala janaSi tulikubaliana sisi ni nchi moja na kila mtanzani a ana haki ya kuishi popote ndani ya hii nchi iwe bara hata visiwani chamsingi asivunje sheria za nchi.?
Au ninyi huko visiwani sio Tanzania?
Ni kweli sababu... Tunawang'ang'ani tuwafokoe sababu ni wajinga. We nchi nzima kwenye Necta hamna division one? You must be dumb and fool.
Na inafika muda unaona ubongo wa nyuma ukiwa na dysfunctional au impairment haileti shida kwenye afya ya akili.. unajielewa kweli Makame? [emoji16]
Yah. Ila kuna kuwa hakuna zile ingia toka zilozoeleka. Huweka hadi pazia.Za wageni hazifungwi kulingana na hilo tangazo ila zile local zinafungwa
🤣🤣Tuwape oman tu hutwo tuvisiwa.
Kama umetokea Bara na upo ugenini Znz, utakula nyumbani ipi?Wale nyumban