Zanzibar yaweka marufuku ya kuuza vyakula wakati wa Ramadhan

Zanzibar yaweka marufuku ya kuuza vyakula wakati wa Ramadhan

Wakristo tuliopo Zanzibar tunanyanyaswa kiukweli[emoji134] kanisani Anglican huwa wanapika, ngoja tuone kama watazuia na pale...
Hawazuii. Kuna restaurants mjini haifungwi kwa sbb ya wageni.
 
Bila fukwe na hoteli za kitalii..hakuna mji mbovu kama zenji..bora mtu ukaishi hata mafia huko ama chiwata...pamenyata sana.

Sema nink tunadumisha muungano

#MaendeleoHayanaChama
Kabla hizo fukwe na Hotel za kitalii hao watalii walianza kuja kuangalia hayo majumba mnayoyaita mabovu na yananuka waliyoyawacha waarabu [emoji2957]
 
Hichi kimkoa cha hovyo sana, utadhani wamejaa watakatifu tuuu
 
Ni kweli sababu... Tunawang'ang'ani tuwafokoe sababu ni wajinga. We nchi nzima kwenye Necta hamna division one? You must be dumb and fool.

Na inafika muda unaona ubongo wa nyuma ukiwa na dysfunctional au impairment haileti shida kwenye afya ya akili.. unajielewa kweli Makame? [emoji16]
Nchi nzima kwenye necta hamna division one!!!?
 
Punguza jazba. Hata mzungu atafuata raratibu na mila na desturi za Zanzibar. Na akivunja sheria atakula bakora tu. Hakuna namna.

Hata wewe kama unataka kula mchana kula hadi uvimbiwe; ila sio hadgarani.

Very simple tu. Sjui unakwazika wapi. Huu ni utamaduni wa Zanzibar lazima uheshimiwe. Ala!

Unataka zanzibar ipokee kila aina ya uchafu? No way. Lazima waenzi utamaduni wao na mgeni akija afuate. Akizingua tia bskra tu.
Unazidi kumpandisha hasira [emoji1787]
 
Kwa nini wanawapangia watu wale vifichoni?Ili tukujue umefunga kwa nia njema unapaswa kuvuka mitihani ya kuwaona wengine wakila bila weye kupata sonona.
NI Mila zetu KUHESHIMU huu mwezi usipowafikiana na Mila za wenyeji wako kuna ttzo gani si urud kwenu
 
Bila fukwe na hoteli za kitalii..hakuna mji mbovu kama zenji..bora mtu ukaishi hata mafia huko ama chiwata...pamenyata sana.

Sema nink tunadumisha muungano

#MaendeleoHayanaChama
Njoo uone wamakonde mlivyojazana huku Hadi keroo
 
NI Mila zetu KUHESHIMU huu mwezi usipowafikiana na Mila za wenyeji wako kuna ttzo gani si urud kwenu
Mila?Naamini huwa mnaenda/maishi kwa kutegemea kitabu chenu cha dini.Ni wapi kinawapa maelekezo hayo?
 
Vziuri sana sasa wafutae sharia zote za dini ya kiislamu kama watalebani , na sio unafki wakujishindisha njaa tu
 
Back
Top Bottom