Zanzibar yaweka marufuku ya kuuza vyakula wakati wa Ramadhan

Zanzibar yaweka marufuku ya kuuza vyakula wakati wa Ramadhan

[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]asee jamaa huwa hawajiamini kabisa kwani we umefunga mi sijafunga kuna shida gani mi nakula we usile mbona mungu anaona tuu...
 
eti tradition tokea lini?, yaani harakati za sultan seyyid na kina Bargash kuwazuia watumwa na wakazi wengine kula mchana wakati wa mfungo ndio mnaziendeleza mpaka kesho?, hahah kweli mtumwa ni mtumwa tu hata aweje bado ile minyororo ikitoka mikononi huwa inabaki akilini, hii bidii mngeiweka kwenye kusisitiza umuhimu wa elimu na kupinga ushoga mngekuwa mbali sana
 
Zanzibar waliowengi si ni waislamu shida ipo wapi?

Na pia kuna waislamu ambao wanaruhusiwa kutokufunga (kisheria) kama wasafiri, wagonjwa, watoto, wazee, wanawake waliopo kwenye ada zao, na wajawazito au wanaonyonyesha n.k

Hawa nao wanaingia kwenye hili katazo.

Lakini watu baada ya kuona katazo tu basi moja kwa moja wanaona limewalenga wasiokuwa waislamu.

Na vipi muislamu ambaye anaacha biashara yake ya chakula kupisha mwezi mtukufu, huyu naye hataki kipiga pesa ili awakomoe wasiokuwa waislamu?

Hii dini ya haki haimkandamizi yeyote.
wakati tangazo lishasema biashara zifungwe sasa dini ya haki wapi wakati watu wanalazimishwa kufanya hivyo?? huo utaratibu alianzisha sultan Bargash na wenzake nanyi mmeurithi mpaka leo, kweli watumwa ni watumwa tu
 
Hivi kwanini Wazanzibari wasikamatwe na kufungwa? Hawa watu kwa kweli wana matatizo ya kiakili, yaani mtu unalazimishwa kufunga, ni wapi Mungu kakataza watu wasile mchana?
Bakia nyumbani kweni ivi ukiwa KAHAMA si unakua free baki huko basi
 
Zanzibar waliowengi si ni waislamu shida ipo wapi?

Na pia kuna waislamu ambao wanaruhusiwa kutokufunga (kisheria) kama wasafiri, wagonjwa, watoto, wazee, wanawake waliopo kwenye ada zao, na wajawazito au wanaonyonyesha n.k

Hawa nao wanaingia kwenye hili katazo.

Lakini watu baada ya kuona katazo tu basi moja kwa moja wanaona limewalenga wasiokuwa waislamu.

Na vipi muislamu ambaye anaacha biashara yake ya chakula kupisha mwezi mtukufu, huyu naye hataki kipiga pesa ili awakomoe wasiokuwa waislamu?

Hii dini ya haki haimkandamizi yeyote.
Watu kuwa wengi wa dini moja haimaanishi watu wafuate taratibu za dini hiyo. Dini ni mali yako chumbani public kila mtu hana dini
 
Jamani ile ni Zanzibar...
Historia yake,Utamaduni wake na mwenendo wa maisha yao wala hupaswi kuumiza kichwa
 
Kama unataka kula nenda police mes au jeshini kwenye cafeteria zao utakula
Huko chakula, vinywaj viko muda wote

Ova
 
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]asee jamaa huwa hawajiamini kabisa kwani we umefunga mi sijafunga kuna shida gani mi nakula we usile mbona mungu anaona tuu...
Hamia Dar kipindi cha mfungo ,wazanzibari tutaendelea na utaaratibu wetu tangu enzi za babu.
 
Hiyo sio funga, ni kujionyesha, kama wewe kweli umefunga, vipi uchukie kuona mwenzio asiye wa imani hiyo akiendelea na maisha yake? Kwani kufunga ni adhabu?
 
Back
Top Bottom