Zanzibar yazinduwa mfumo wa bima ya kiislam

Zanzibar yazinduwa mfumo wa bima ya kiislam

Nasikia wanaojinyea kwa bahati mbaya pia itawasaidia Pempass?
Sasa wewe unatukumbusha uchaguzi uleee, kisa kilichomkuta mamvi. Si ya kucheka lakini nadhani hii huduma ingekuwepo chadema wasingekubali mgombea wao yamtokee yale.
 
Sasa tunasubiri bima ya mkombozi.

Mama Tibaijuka asalimiwe.
 
Tunaitaka haraka sana Tanganyika.

Kama ilivyoshamiri benki ya Kiislam mpaka benki zingine zikafunhguwa vitengo vya Islamic Banking basii ndiyo zaidi.

Mabroukin Zanzibar.
Ha ha ha ha ha ha ha
inabidi iletwe kwenye ile mikoa waliokaa waarabu huenda kukaa na maendeleo kama Mtwara, Lindi, Pwani, Morogoro, Singida na shinyanga mjini.
Hongera zao.
 
Ha ha ha ha ha ha ha
inabidi iletwe kwenye ile mikoa waliokaa waarabu huenda kukaa na maendeleo kama Mtwara, Lindi, Pwani, Morogoro, Singida na shinyanga mjini.
Hongera zao.
Kuna mkoa wa Tanzania hii ambao Waarabu hawajawahi kukaa? Sijauona.
 
Hilo ni kanisa moja tu na lilijengwa zamani sana kabla hata ya mapinduzi.

Kwanini hawataki kutoa ushirikiano kuruhusu wakristo wajenge makanisa ya ziada ?
Kwasababu uislamu uhenezwa kwa chuki na umwagaji damu. Soma mafundisho yoyote hata sikiliza mahubiri ya wakristo huwezi kusikia wanaongelea uislamu ila njoo kwa waislamu, adui yao namba 1 ni ukristo.
Wanamafundisho ya chuki dhidi ya ukristo, wanakosoa Biblia, wanachambua Biblia mpaka wanasahau kuongelea Quran. Ila cha ajabu wakristo hawana habari na uislam kabisa wala Quran yao.
Ndiyo maana wana ule msemo wao "Muislamu ndugu yao ni muislamu" Wanachuki na hasira sana kuhusu ukristo na Biblia takatifu.
Hapa alitakiwa aongelee kuhusu Jibril ni nani na kutoa mafundisho ya uislamu. Hii blog inachekesha sana mpaka inatia kinyaa kusoma. Wameacha kuzungumzia mafundisho ya uislam wanazungumzia ukristo.
 
Inatuhusu nini? Sisi tunataka Bandari zetu za Tanganyika, hakuna kuuzwa ondoa DP World acha kuamisha mjadala

Pigania kurudi Tanganyika , mkataba wa muungano uko wapi ??
 
Vipi Wagalatia wanaweza kujiunga na bima hii?
Sisi wagalatia bima hii tunayo kwa muda mrefu sana huku tunaita umoja wa kusaidiana kwenye misiba zaidi, yapaswa kuongeza wigo wake na kuelekea uwe wa kusaidiana kiuchumi, pili makundi yetu huwa hayasajiliwi rasmi, hawa wametuzidi tu katika kufanya OFISHALI, tu.
 
Mkanisa yanabomolewa

Mkristo akila kwenye ramadani anafungwa jela

Hawa hata wakitoka huko Zanzibar akili yao ipo kuutukuza uislam zaidi, tena ule wa kuwaona waarabu wote ni ndugu wa mtume, wakija kuongoza huku huwapa waarabu mbuga, bandari, misitu, n.k.
Assimilate.
 
Ukiona mtu anaanza matsi ujuwe hana hoja na roho inamuuma vibaya sana,

Unaonesha unatokwa povu hapo. Tukikwambia hiyo AI anatumia Algorythm 100% hata huelewi hicho ni nini na ni zawadi ya nani kwenye sayansi duniani. Unaelewa ni mdudu gani huyo?

Halafu tukikujulisha kuwa AI Robot la kwanza ni Raia wa Saudi Arabia , unalielewa hilo?

Sisi tunaisubiri kwa hamu kubwa huduma hii iliyoanzisha Zanzibar kwa ukanda huu. Kesho tu naingia kuitafuta, wamekuja on time.
Kwa hiyo AI ikisema mudi ni muhuni tu na gaidi wewe utafuata muongozo wa AI [emoji1787][emoji1787][emoji1787] maana hiyo AI yenyewe inakataa uwepo wa mungu
 
Zanzibar hakuna makundi yanayo pangwa kumpinga Rais
Mwarabu amerudisha eneo lake la km 10 kutoka fukwe ya bahari ya Hindi kuingia bara kuanzia Tanga hadi Mikindani (Mtwara) ambayo aliipoteza baada ya Ujerumani kuchukua Tanganyika miaka hiyo. Mbaya zaidi this time kapewa na fukwe zote za lake zones.
Haya yamewezekana kupitia ndugu zao ambaye kwa sasa ni Waziri wa Uchukuzi Tanzania, Katibu Mkuu wa Wizara hiyo na Mkurugenzi Mkuu wa TPA.
Haya yamekuja kwa bahati mbaya au calculations za muda mrefu ya Mwarabu ambapo sasa Rais wetu amekuwa lango (gateway) kati ya Waarabu na Tanganyika?
 
Tunaitaka haraka sana Tanganyika.

Kama ilivyoshamiri benki ya Kiislam mpaka benki zingine zikafunguwa vitengo vya Islamic Banking basi hii ndiyo zaidi.

Mabroukin Zanzibar.

Sijaona jipya zaidi ya kuleta udini tu kwenya biashara.

Hata bima za sasa ipo hiyo ya sharing, maana bima hawakupi 100% compensation.

Hiyo yenu naona kama ni chaka la kutakatisha fedha tu.
 
Hivi tofauti ya hiyo "Takaful" na hii ya "Kikristo" ni ipi?
Mimi nitaangalia unafuu kwanza.
 
Tunaitaka haraka sana Tanganyika.

Kama ilivyoshamiri benki ya Kiislam mpaka benki zingine zikafunguwa vitengo vya Islamic Banking basi hii ndiyo zaidi.

Mabroukin Zanzibar.
Hivi wiki hii unakula nini..!!?? Mbona unafuka sana moshi wa kuni mbichi hivi?
 
Wewe mtu unajitahidigi kujificha lakini ni FaizaFoxy wa kiume . Dini kitu kibaya Sana hata mtu unayemfikiria kichwani anazo kidogo . Linapokuja swala la Imani utashangaa 😂😂
Wewe poyoyo kweli kweli. Kama wewe huna dini unataka sote tusiwe na dini?
 
Wewe mtu unajitahidigi kujificha lakini ni FaizaFoxy wa kiume . Dini kitu kibaya Sana hata mtu unayemfikiria kichwani anazo kidogo . Linapokuja swala la Imani utashangaa 😂😂
Wewe poyoyo kweli kweli. Kama wewe huna dini unataka sote tusiwe na dini?
Hapa jiwe gizani limempata muhusika, vyovyote ilivyo hizi IDs ni za mtu mmoja aliyekotiwa mwengine aliyejibu mwengine nadhani ni baada ya kuona notification ukapanic ukashindwa kupanga vizuri karata zako I'd ipi ijibu kipi I'd ipi isijibu kipi.

Wenye akili tunaelewa
 
Back
Top Bottom