Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Wamchukue na ndugu yao huku bara hatumtaki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wadini haswaMkanisa yanabomolewa
Mkristo akila kwenye ramadani anafungwa jela
Hawa hata wakitoka huko Zanzibar akili yao ipo kuutukuza uislam zaidi, tena ule wa kuwaona waarabu wote ni ndugu wa mtume, wakija kuongoza huku huwapa waarabu mbuga, bandari, misitu, n.k.
Ma shaa Allah. Katafute maana ya sentensi " Inna ma Almuuminin ikhwa".Hapa jiwe gizani limempata muhusika, vyovyote ilivyo hizi IDs ni za mtu mmoja aliyekotiwa mwengine aliyejibu mwengine nadhani ni baada ya kuona notification ukapanic ukashindwa kupanga vizuri karata zako I'd ipi ijibu kipi I'd ipi isijibu hiki.
Wenye akili tunaelewa
kabisa tena. Tena mimi naombea atuuze na sisi, siyo bandari tu. Runa faida gani ikiwa wenyewe mpaka leo tumeshindwa na kinchi kidogo kama Dubai?Pamoja na yote mwamba The Boss kugawa bandari bila kikomo ni kuuza mali za watanganyika.
Tena kabisa hawatakiwi wasogelee hapo, ukimuona kaingia hapo basi kajifanya Muislam.Mbona makkah wagalatia hawaruhusiwi kutia mguu si ni ubaguzi huo ama?
Nasikia hata yale yaliyopo pale wazungu waliponunua watumwa basi halijai lazima siku ya Jumapili watoke watu Dar wakaongeze idadi.Hilo ni kanisa moja tu na lilijengwa zamani sana kabla hata ya mapinduzi.
Kwanini hawataki kutoa ushirikiano kuruhusu wakristo wajenge makanisa ya ziada ?
Unamaanisha watu kama kigogo,alhaji Abdulrahman kinana,january makamba,hajat fatma karume na zitto kabwe ambao walimuandama sana magufuli kila kukicha?wewe ni kambale kweliZanzibar hakuna makundi yanayo pangwa kumpinga Rais
Kuoa binti wa kiislamuLini au wapi ulisikia huduma za Kiislam zikibaguwa wengine?
Umewahi kufika corner bar?Zipo, wewe ukienda kuyakanyaga huko kona bar, bima hii itakusaidia kukutibu.
kwenda kumuua shetani kwa mawe tena safari nitashauri apigwe bomu ili afutwe kabisa ili tuendelee na mengineTena kabisa hawatakiwi wasogelee hapo, ukimuona kaingia hapo basi kajifanya Muislam.
Mgaalatia ana sababu zipi za kumpeleka Makkah zaidi ya umbea tu?
Hiyo ni sheria ya Makkah yenye zaidi ya miaka 1,400 leo, siyo ya jana wala juzi.
Unataka kwenda kufanya ufisadi?
Nipe aya kwenye Quran bint google ndio Quran sikuhizi?Soma kuhusu "Takaful" ndiyo namna inayotumika.
kama unajuwa kutumia google utapaya majibu mengi sana.
Waislam hawawezi kufanya kitu bila kufata miongozo ya Kiislam.
Kwani kanisa lazima lijae?Nasikia hata yale yaliyopo pale wazungu waliponunua watumwa basi halijai lazima siku ya Jumapili watoke watu Dar wakaongeze idadi.
Mimi sijui naomba uniambie wewe anaitwa nani?Sijawahi, napasoma sana mitandaoni. Pengine kwa kupasoma nnayaelewa mengi kuliko unavyopaelewa wewe, unamfahamu mmiliki wa kona bara umaarufuku wa anaitwa nani?
Swali lako na mahitaji yako hayo yanaonesha huelewi kuhusu Uislam. Pata darsa dogo.Nipe aya kwenye Quran bint google ndio Quran sikuhizi?
kwahiyo Google ndio imekuwa mbadala wa Quran? Niupende uislàmu kivipi kuanzia mama yangu na ndugu zake wote ni waislamu kwahiyo nawajua ninyi nje ndaniSwali lako na mahitaji yako hayo yanaonesha huelewi kuhusu Uislam. Pata darsa dogo.
Katika Uislam chochote ambacho hakijakatazwa ni halali mradi kikutowe katika Uislam wako.
Qur'an mara nyingi huwa inatazamwa vilivyokatazwa siyo ambavyo havijakatazwa.
Umeelewa kijana?
Kama hujaona neno "Takaful" basi hujalitafuta na ndiyo mara yako ya kwanza kulisikia. Sasa wewe tumia google kulitafuta.
Wewe unaonesha unaupenda sana Uislam na hautaki Waislam wapotee. Shahadia tu.
Punguza jazba KAFIRI,udini haukusaidii chochote mgalatia kaa Kwa kutulia yatafakari maisha punguza chuki maana itakuletea shida Kwa afya ya akiliMkanisa yanabomolewa
Mkristo akila kwenye ramadani anafungwa jela
Hawa hata wakitoka huko Zanzibar akili yao ipo kuutukuza uislam zaidi, tena ule wa kuwaona waarabu wote ni ndugu wa mtume, wakija kuongoza huku huwapa waarabu mbuga, bandari, misitu, n.k.
Eti bandari zenu.Inatuhusu nini? Sisi tunataka Bandari zetu za Tanganyika, hakuna kuuzwa ondoa DP World acha kuamisha mjadala