Zanzibar yazinduwa mfumo wa bima ya kiislam

Jinyonge au zuia
 
Ma shaa Allah. Katafute maana ya sentensi " Inna ma Almuuminin ikhwa".

Kama unajuwa kutumia google utalipata jibu.

Pia tazama habari za Ufaransa, chanzo cha machafuko huko ni nini, utalipata jibu.
Wewe utakuwa umelewa ali-kasus wewe!

Ulichoandika hapo na nilichoandika mimi unaona vinashabihiana?multiple IDs zitakuuwa hoja uliyoandika sehemu nyengine kwa I'd nyingine unaijibu hapa kwa I'd nyingine.
 
Nao wakristo wa Zanzibar waanzishe wao
 
FAIDA na RIBA haviwezi kua sawa. Kama ilivyokuwa haviwezi kua sawa kati ya tendo la kujamiana baina ya WANANDOA WAWILI na MALAYA WAWILI.
FAIDA ni ZIADA ya MAUZO dhidi ya MANUNUZI/GHARAMA wakati RIBA ni ZIADA itokanayo na MABADILISHANO ya BIDHAA/HUDUMA zinazofanana (Shilingi 500 vs 700, Magunia 5 ya Michele wa Mbea vs Magunia 8, ujenzi wa Banda la kuku 1 vs mabanda 2 etc).
FAIDA ni pato HALALI
RIBA ni pato la WIZI/DHULMA.
 
Nani kakudanganya? Money ikiwa commodity kinachopatikana ziada ni riba. Hapo Ndipo mnspigwa, mbona mmejazana kwenye Benki za biashara badala ya hizo? Kama unakopa mia na kurusldisha mia hapo sawa, kitu ambacho mebadilishiwa jina tuu basi mnaona ni tofauti kitu kilekile. Akikupa fedha ukarudisha na ziada ni sawa sawa sawa akikupa bidhaa badala ya fedha ukarudisha na ziada anayoiita faida badala ya riba. Ingekuwa hivyo ningesema basi ni fedha za majini kama unakopo na kurejesha hivyo hivyo wakati Kodi za serikali unalipa, unalipa pango , umeme, maji na watumishi
 
Eti bandari zenu.
Kama zenu mnalialia nini humu? Si mwende mkazichukue.
Mshaambiwa nyie wabara hamna asili ya bahari, wenye bandari yao washafanya yao
Kuwa na asili ya bandari kukoje wewe mke waa kiringo?
 
Hao jamaa akili hawana kabisa ni watu wa mihemko sana
 
Naona unajichanganya tu, hujaelewa nini hapo?
Nimekwambia bidhaa kwa BIDHAA zinazofanana au HUDUMA kwa huduma zinazofanana ndio RIBA, ikitokea kwa BIDHAA au HUDUMA zisizofafana hiyo sio riba ni FAIDA.
Kinachofanyika kule ni Hire Purchases, ni mauziano/MABADILISHANO ya BIDHAA zisizofanana.
Kama kinafanyika kitu tofauti na hicho basi hiyo ni RIBA kweli.
Au wewe mtu akikuuzia kitu kwa shilingi 5,000 wakati yeye kilimkosti 4,000, hiyo 1,000 kwako riba na sio FAIDA?
If yes, naomba nikuache.
 
Hauijui mihemko?
Mihemko naifahamu, Ila sijafahamu correlation yake na kilichoelezwa pale.
Mwanzako japo hakua sawa, lakini amejaribu kueleza na kufahamika.
Kwa mwalimu ambae sio mchoyo, kwenye swali la alama 10, anaweza kumpa hata alama1 au 1.5, wewe sasa unaunga mkono kimuhemko kitu usichokifahamu na hivyo kushindwa kukielezea.
 
Je, watu wasiokuwa waislamu waliopo na wanaoishi Zanzibar wanakuwa accommodated vipi na bima hii???
 
Je, watu wasiokuwa waislamu waliopo na wanaoishi Zanzibar wanakuwa accommodated vipi na bima hii???
Uislam ni mfumo wa maisha kwa viumbe wote, sote tunazaliwa tukiwa Waislam, hakuna cochote au popote kwenye jambo la Kiislam ikawa hilo kwa ajili ya watu fulani tu. Hakuna hilo, usiwe na wasiwasi kabisa.

Mbona ilianzishwa benki ya Kiislam na benki zingine walipoona kuwa ni mfumo mzujri sasa benki nyingi duniani, mpaka hapa Tanzania, zimeweka vitengo vya "Islamic Banking".

Nenda tu kakate usiwe na saka, haguliwi yoyote kwenye Uislam. Ukiweza hata msikitini nenda ukasali hakuna ataekuzuwia. Ukiona mtu kakuzuwia basi huyo siyo Muislam au haelewini Muislam asyeuelewa maana Uislam.
 
Kichwani mwako umejaza mavi
 
kwenda kumuua shetani kwa mawe tena safari nitashauri apigwe bomu ili afutwe kabisa ili tuendelee na mengine

Kumbe wewe umeona Hilo tuh la shetani kupigwa mawe,yule msela mzungu muliemtundika pale msalabani miaka yote hii hamuoni huruma??
Na unathubutu kumuita.mungu kbs,acha zako wewe,mungu unaweza kumsulubisha kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…