Zari afanya kufuru kwa pesa za Ivan

Zari afanya kufuru kwa pesa za Ivan

DIAMOND NAYE ANA MOYO AISEE,ZARI KILA MUDA KUMKUMBUKA IVAN,MARA KWENDA KWENYE KABURI LAKE MARA SIJUK NN.aaaaaaahhh mzee mondi naye anaona kumbe naye kavamia ngedere ambaye naye ana pori lake
 
Kwa muda sana bibie ZARI amekua na uhusiano na Diamond
Lakini inaonekana kama vile amemgeuza mwenzie MTU wa show off na kujipatia umaarufu zaid.

Lakini kiukweli ZARI moyo wake umekua muda mrefu upo kwa IVAN hata kabla hajafa.

Na ikafikia stage watu wanasema kwa kua walikua wanamahusiano bado kikazi na wamezaaa watoto ndo mana bafo wanasapotiana,haya kijana wa watu akawa anavumilia tu
Kuambiwa yupo na kibibi
HIVYO hivyo
Na kamuonyeaha mahaba yote

Lakini mama bado kimwili yupo kwa mondi
KIROHO bado kwa IVAN tu


Haya BAHATI mbaya IVAN akafariki,lakini bibie ZARI hajali hata jinsi DIAMOND anavyojitahidi kuwajali watoto WOTE mpaka wa IVAN.

Yeye KUTWA kwenda KWENYE kaburi la Ivan na kupiga picha muda WOTE
Na Mara nyingi kumpost.

Akimaanisha still yupo moyoni na kuna mengi labda wakifanya huku diamond akivumilia





Sasa Mkuu naona kaona sasa aahhh liwalo na Liwe tu maaana maadui ni wengi,na mam naye anamletea mambo ya kummiss sana IVAN


Ndo mana last time akasemaga kua NI BORA AMEGE ASEPE TU,WATOTO WA KIKE MKIPENDWA MNATABU SANAAA


TUULIZENI SISI TUNAOPENDA VITUKO TUNAVYOFANYIWA



AAAAAAAHHH MWISHO WA SIKU UNAONA BORA ULE USEPE TU,NO KUPENDAAA.


So mwacheni mondi atulize nafasi yake tu,naye yupo tired na vituko
 
https://jamii.app/JFUserGuide love, i am tired of trying, my heart
beats but a bit quite...aisee diamond ataishia kupata ngoma, ogopa sana malaya, diva(fighters) wakiamua kukupa moyo afu we uukaange ule rosti na chapati...diamond asijaribu kurudi kwa huyu mwanamke maana alimpenda sana and she was ok to leave kila kitu nyuma hadi watoto for the sake of love or we say dick, experienced men tunajua kinachofuata ni revenge na diamond might suffer for the rest his life...jamaa ka mess up kimama sana truth be told, hii si drama ya wema ama peninah sijui..me mwenyewe nili mess up kwa mama mtoto wangu mpaka leo hii nnakoma, maana siyo masikini na ana nguvu juu ya mtoto and everything
 
1505514675131.jpg

2016 Blue
2017 Black
 
ahahaaa ila diamond ni muhuni jamani.halafu hatumiagi kondom.kuna yule demu wa mwanza aliesema ana mimba yake alikutana nae kwenye corrodor hotelini katokea chumba cha jirani kugegedwa na dulyskyes akamuita room kwake nae akamlala kavu

we unatumiaga?
 
Mara paaahh......huna hata mia mbovu kazi kushadadia pesa za wenzanko....kuwen makin msije ishia kuishi kwenye kichuguu na mchwa kuwa ndio breakfst, lunch na dinner yenu..
 
Wala sioni haja ya Zari kupaniki hata kidogo..

Hata kidogo...
 
ahahaaa ila diamond ni muhuni jamani.halafu hatumiagi kondom.kuna yule demu wa mwanza aliesema ana mimba yake alikutana nae kwenye corrodor hotelini katokea chumba cha jirani kugegedwa na dulyskyes akamuita room kwake nae akamlala kavu
Hebu tueleze umejuaje kuwa hatumii ndom?
 
ahahaaa ila diamond ni muhuni jamani.halafu hatumiagi kondom.kuna yule demu wa mwanza aliesema ana mimba yake alikutana nae kwenye corrodor hotelini katokea chumba cha jirani kugegedwa na dulyskyes akamuita room kwake nae akamlala kavu
Ndio maana kuna mdau alisemaga humu kwamba wenda wasanii wao ukimwi unawapa excuse, maana wanacheza rafu nyingi but still wanadunda tu
 
Back
Top Bottom