Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,071
- 6,753
Na yeye aamue moja. Anaolewa au anakaa South. Ndoa gani mtu nyumba inanunuliwa SA miradi iko huko bwana Bongo?? Yaani Dai maisha yakw yote yawe hivyo?? Hawezi kuenjoy kukaa na mkewe hada pika pakua miezi 2?? Maana mwezi ule alikaa akiwa mzazi hakumpikia mzeeyani hapo you can tell kabisa she is stressed maskini doh i pity her....
sio kwa hizo post na maneno hayo,mara pinto will be a millionaire mara r.i.p don,mara i don fight over[emoji533]...dah sad!!!
bora ake ana mihela,i hope she gon get over it soon or later...