Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,071
- 6,753
Na yeye aamue moja. Anaolewa au anakaa South. Ndoa gani mtu nyumba inanunuliwa SA miradi iko huko bwana Bongo?? Yaani Dai maisha yakw yote yawe hivyo?? Hawezi kuenjoy kukaa na mkewe hada pika pakua miezi 2?? Maana mwezi ule alikaa akiwa mzazi hakumpikia mzeeyani hapo you can tell kabisa she is stressed maskini doh i pity her....
sio kwa hizo post na maneno hayo,mara pinto will be a millionaire mara r.i.p don,mara i don fight over[emoji533]...dah sad!!!
bora ake ana mihela,i hope she gon get over it soon or later...
Waliompiga Tundu Lissu Risasi kule Dodoma.Ndio kina nani hao ?
Yaani huyu bibi ni kama an miaka 18 tu.....
nadhani umeamini sio mtu wa kispoti spotiiii.....
Vijembe vyake imebidi niview huko wanakoita insta leo
it's better to cry in a benz than on a bicycleHakuna raha yoyote ya Mali wakati moyo umejaa mastress kibao
Hakuna raha yoyote ya Mali wakati moyo umejaa mastress kibao
Ndo madereva wa ile Nissan na ile PremioNdio kina nani hao ?
U are very very wrong ....kaguse kule chini uoneYaani huyu bibi ni kama an miaka 18 tu.....
Sijui pesa zimemchanganya si kwa kugawa sperms huku tehe tehe teheahahaaa ila diamond ni muhuni jamani.halafu hatumiagi kondom.kuna yule demu wa mwanza aliesema ana mimba yake alikutana nae kwenye corrodor hotelini katokea chumba cha jirani kugegedwa na dulyskyes akamuita room kwake nae akamlala kavu
Bila shakaajue kuna kufilisika maana si kwa matumizi hayo aiseeee....au nayeye kajiunga lile kundi la mumewe