Zari All White Party: Diamond kuzindua TV station yake mei 1 Mlimani City

Dah uyo dada anamtia aibu sana mh.sugu
 
Hivi Sugu aliliokota wapi hili kahaba?
 
Ha haaaa huyu siyo mzima nani alimuambia amependeza? Alitafuta kiki kwa Pampers ikishindikana sahivi kaja kivingine. Wema anapendwa na watanzania wote??? For God sake??? Nani kamuambia??? Huo utafiti alifanya lini? I think mimi siyo mtanzania.
 
Wema anapendwa na watanzania?!

Mkuu watu kama hao ndio wanaotufanya watanzania tuonekane tuna iq ndogo, wakati wenzie wanawaza mamilioni yeye anawaza team wema.

Hivi huyo wema anauwezo wa kuandaa show kama ile, mashabiki wake wenyewe wa instagram ni Team majalala.

Sijamuona shabiki au show ya Wema ya kuingilia milioni tatu. Zaidi zaidi msimbazi.
 
hivi hakuna mtu mwenye influence kubwa kam vile le mutuz asemavyo ana akili kubwa akaziyeyusha hizi bifu??? me naona wasanii wetu wanasonga mbele kwa mwendo kinyonga kwa sababu ya bifu, yaani kama hawa team wema jamani wamewakalia kooni mond na zari mpaka too much jamni, mpaka mtu unashindwa kuelewa wanatakaje.
 

Ningemuona wa maana sana kama angemshauri Wema ajifunze ujasiriamali kutoka kwa Zari. Hii event ya jana haikupaswa iwe ishu ya eti Wema ni nani, bali event ya kujifunza namna ya kutengeneza pesa. Kiingilio cha chini elfu 50 na bado watu wamejaa vibaya sana halafu eti unaleta stori za mahaba, amwambie Wema atengeneze pesa tumuone wa maana siyo anasubiri wanaume wamuhonge.

Hapo kwenye red mkuu umegusa kwenye jipu kabisa, tena jipu lenyewe limekaa sehemu mbaya.
 
Kuna watu akili zao walipewa kwa ajili ya kujiongoza wao wenyewe tu. Hata mbwa hawawezi msikiliza mtu kama hiyi
 
Huyu alienda kuzingifuri mfyuuu eti laki aksimama aliemwambia atoe laki naniiii si angetoa milion akakaa pumbavu zake huyu faiza
 
Hivi mtu unatoa pesa yako, halafu eti unakwenda kwenye shoo ya mtu ili umlinganishe na mtu mwingine, huu si ushamba na upuuzi? Watanzania tutabadilika lini kama staili ya maisha ndio haya ya kimajungu majungu namna hii.





Mwambie arudishe shati la King of all social media..Le Mutuz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…