Zari All White Party: Diamond kuzindua TV station yake mei 1 Mlimani City

Pengine ni TV show..

Ahahah, au kama kweli ni Tv station itakuwa ni ya mtu mwingine anampigia promo, ndomo hana ushuzi huo

Au labda baba riz amfungulie then asimamie kwa niaba ya wasanii wenzie
 
Kahaba la kirumi ndani ya visiwa vya sultani ...lazima uliwe macho tu
 
Kuweni na subira basi...kuna wengi nchini hata TV tu hawaoni vipindi...atoe online ooh sijui wapi itaangaliwa na wanaotaka.


Hongera zake sana.
 
warumi message yako ni mbaya kumbuka yule ni mtu mzima kama babu pia ni raisi wa nchi so mambo ya chooni ni kama unamdhalilisha sio fair

Si katoa maoni yake kwani ndomo ana ajenda gani mule ofisi ya uma??
 
Last edited by a moderator:
All the best DIAMOND tunakuombea sisi wenye mapenzi mema nawe, unaitendea vema fani pamoja na kipaji chako....! Kumbuka ulikotoka ni karibu unakokwenda ni mbali
DON STOP TILL U GET ENOUGH
 
Mmh mwenzangu huyo baba naniliu anavyompendelea diamond utafikir yeye ndo msanii pekee, mara amnunulie mashati ulaya, mara waalikane ikulu, maana ndomo ikulu anaingia kama chooni, mwishowe wafikiriwe vibaya mxiuuuuuuu!!!

Warumi wewe, sometimes unaniamuse, sometimes unaniboa kama hivi why man. Why? Distinguish yourself from others please kwa sababu mchango wako huwa unanifanya nikuweke kundi fulani zuri but when it comes to this...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…