Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
warumi message yako ni mbaya kumbuka yule ni mtu mzima kama babu pia ni raisi wa nchi so mambo ya chooni ni kama unamdhalilisha sio fair
raia namba moja ndo yupi tena mkuu?
Hiyo tv isije ikawa Tv ya asili tu
Kama ni yale mambo ya tv za online bado hajanishika.
Ni tv za online kama ya Millardayo
😡😡 magumashi tu hayo.Mambo ya kutazama online siwezi mimi.
Tatizo dogo anapenda sifa angeturia afanye mambo yake
Mmh mwenzangu huyo baba naniliu anavyompendelea diamond utafikir yeye ndo msanii pekee, mara amnunulie mashati ulaya, mara waalikane ikulu, maana ndomo ikulu anaingia kama chooni, mwishowe wafikiriwe vibaya mxiuuuuuuu!!!