Zari All White Party: Diamond kuzindua TV station yake mei 1 Mlimani City

Hivi bado unauliza swali kama hili baada ya reseach yako yote kweli?
 
sijawahi kufikiria km nitakuja kugombana na best yngu on whatever case ukiacha moja tu ambyo mtu yoyote anaweza lkn vinginevyo ni upuuzi tu
 
Labda kakosa ticket maana naona tangazo hapa zimeisha
 
baba wanjera na mzee wa moka wana hate unnecessarily..

Wanazitafuta stunts za kipimbi dhidi ya PLATNUMZ ,, ila tushawasoma tunawapotezea
 
kwan.n wasanii wote wameenda huko mpk mquestion over dmpoz?? sio lzm kla mtu asapot hlo... jide mmeona kasapot???
 
baba wanjera na mzee wa moka wana hate unnecessarily..

Wanazitafuta stunts za kipimbi dhidi ya PLATNUMZ ,, ila tushawasoma tunawapotezea

ha ha haa mvaa moka daah hili jina nilisha lisahau!
 
Diamond level nyingine baba wanjera ashindane nakuleteana bifu na wasanii kama nuhu mziwanda ndo level yake
 
Hawa jamaa hawako vizuri inaonekana mana zamani walikua washkaji sana. Hata mm nilifanya research nikakuta hola
 
ha ha haa mvaa moka daah hili jina nilisha lisahau!

Huyu ba wanjera alipoona mzee wa moka ametoka kwa kuegemea mgongo wa PLUTNUMZ nae akataka lianzisha la kijinga jinga..
Tukamchinjia baharini ka BIN LADEN.

C unajua, to a FOOL silence is the BEST answer.
 
Kila binadamu ana haki ya kufanya ajisikiavyo

Halafu huwezi kuuridhisha ulimwengu

Umemaliza kila kitu kuna watu bigwa wa Ku criticize wenzao lolote wafanyalo wameiga au kushindana wanasahau kuwa duniani hakuna jipya yote ya zamani tu.
 
kwan.n wasanii wote wameenda huko mpk mquestion over dmpoz?? sio lzm kla mtu asapot hlo... jide mmeona kasapot???

Uko sawa kabisa....ila kwa ommy inabaki kua special case kwasababu yeye alikua rafiki mkubwa wa diamond...jide asiposupport hamna atakaemuuliza ila kwa ommy lazima nishangae kwann anavunga hana time...
 
Chibu mwenyewe hana time nae,, sijaona sehemu kampost
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…