Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi bado unauliza swali kama hili baada ya reseach yako yote kweli?
Hawa jamaa siwaelewi coz meneja wa chibu ameulizwa swali na millard km kuna bifu kati ya hawa jamaa lakn amekataa...
Kwani lazima aposti???
Ana wivu wa kike huyo mshamba tu
We huoni akikaa kimya anasababisha maswal mengi kwa mashabiki....mbona zaman alikua anapost
baba wanjera na mzee wa moka wana hate unnecessarily..
Wanazitafuta stunts za kipimbi dhidi ya PLATNUMZ ,, ila tushawasoma tunawapotezea
ha ha haa mvaa moka daah hili jina nilisha lisahau!
Kila binadamu ana haki ya kufanya ajisikiavyo
Halafu huwezi kuuridhisha ulimwengu
kwan.n wasanii wote wameenda huko mpk mquestion over dmpoz?? sio lzm kla mtu asapot hlo... jide mmeona kasapot???