Zari All White Party: Diamond kuzindua TV station yake mei 1 Mlimani City

Zari All White Party: Diamond kuzindua TV station yake mei 1 Mlimani City

11195600_1571558613108629_523554386_n.jpg
 
Ally K for really vipi ye hajaenda??? teh teh

CC: nifah
 
Last edited by a moderator:
Kuna tofauti kubwa kati ya Depositors na Drawers. Walioenda huko ni Drawers which happen to be many. Najua jamaa anajua na ana kipaji ila binafsi sim feel hata kidogo, honestly i will never be his fan.
 
kuna tofauti kubwa kati ya depositors na drawers. Walioenda huko ni drawers which happen to be many. Najua jamaa anajua na ana kipaji ila binafsi sim feel hata kidogo, honestly i will never be his fan.

mtajinyoga mwaka huu mpende vitu vyake super si we uliharibu
 
nyambafu kabisa mtakufa na upuuzi wenu halafu mnalia njaa kali? kuna kuku wengine wamewekwa bondi hili wakaingie kwenye huo ushuzi
 
Entrainment..ni kurefresh haushangai mzungu anatoka ulaya kuja kumtazama simba..

Entertainment kwa kifupi ni ujinga ujinga
 
Back
Top Bottom