Zari amlipua Diamond kwamba hatoi hela ya matunzo ya watoto wake baada ya kutangaza kulipa kodi za kaya 500

Mzee unaweza ukamuomba mwanamke watoto waje kwako uwape hata pesa za matumizi ya shule wakakatazwa kabisaa,au ukapeleka nguo zikafichwa watoto zisiwafikie,mzee usicheze na wanawake ni sumu mbaya sana kwa watoto kama anaweza kuwalisha sum watoto wasikupende ilihali wew ndani ya nyumba ndo unaleta ugali unalipa bil za maji na umeme,nyumba umejenga wew ndo itkua hiyo ya mmeachana uko mbali?
 
hajaomba hela budaaa[emoji23][emoji23][emoji23]mbona mnahamisha mada makusudi.


dah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hii ni sawa na useme siachi hela ya kula kwa mke wangu sababu mke wangu anakuja kunisema.

nani anakuwa ameanza kutenda hapo kati yenu

Sent using Jamii Forums mobile app
Diamond kamuachia nyumba kabisa akae na watoto hiyo nyumba sasa hiv kaipangisha jiulize anazipeleka wapi? Na kwanini ataki watoto wamuone baba yao?na kwanini ataki kuonesha ushirikiano kwa mzazi mwenza Kama kweli ana Nia ya kusaidiana na diamond?
 
Zarina Hasan mkristo?
 
Kipindi kile msukosuko kidogo na mke wake wakati akihojiwa na clouds alilia au umesahau.

Yule mke wake anataka kusema na kama hujui wanawake hawajui kukaa na neno kifuani.
 
ndio maana nikasema binaadamu sio nyau.

ni rahisi wewe kuja kujitete kwa kumuangushia jumba mama yao,kuliko wakuulize kwanini uliamua kuacha kutuma mahitaji.mondi asipokuwa makini anapoteza access ya muelekeo wa watoto wake,wameanza mpaka kwenda kanisani,matumizi hutoi,kuwaona huwaoni,halafu wakiishapata akili uwaambia....watotot wangu nyie..mimi baba yenu....ninaitwa simba....nanyinyi kuanzia leo ni cubs.

hutaeleweka.nina imani anajua nini cha kufanya msaada ufikie wanawe,ila sababu hata yeye pesa ana kazi nazo anakausha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanaume yoyote ambaye ameshawahi ku
pitia mgogoro na mzazi mwenzake hawezi kumlaumu Diamond.... wanawake nyie ni tatizo KUBWA sana mara nyingi hampendi watoto wenu wawe na mapenzi na baba zao,chunguza hili.
Halafu baba zetu ndio wanakuja kuteseka uzeeni unakuta watoto wako busy kumtunza mama, baba anaonekana kama shetani. Nafasi ya baba kwa mtoto ni ndogo sana you need extra energy ili umake bond na watoto ila mama siku zote huwa wanaonekana ni victims na watoto wana side sana na mama zao.
 
Kipindi kile msukosuko kidogo na mke wake wakati akihojiwa na clouds alilia au umesahau.

Yule mke wake anataka kusema na kama hujui wanawake hawajui kukaa na neno kifuani.
kulia ni tofauti na kuropoka neno lolote linalokuja kinywani kumhusu mwenzi wako,huwenda ndio maana mpaka leo wako pamoja.

mond halii wala hanung'uniki,ila anatoa maneno ya kishujaa sana kwa mademu.bila kujua sisi huku tunamshangaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Diamond kamuachia nyumba kabisa akae na watoto hiyo nyumba sasa hiv kaipangisha jiulize anazipeleka wapi? Na kwanini ataki watoto wamuone baba yao?na kwanini ataki kuonesha ushirikiano kwa mzazi mwenza Kama kweli ana Nia ya kusaidiana na diamond?
hili la nyumba tuliache kwanza.maana story ni nyingi mno.

nia ya kusaidiana na mond nia gani!!!,mond anasubiri nia ili awe karibu na wanaye!!!!

sishangai kasi ya utotoaji inakuwa kubwa,inawezekana mwenzenu hajawahi kufikiria kulea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
imagine mwingine anakausha[emoji23][emoji23][emoji23].

impact ya mzee abdul kumuacha huyu dogo ndio hii,haamini katika baba,haioni hata yeye kama ni muhimu kwa wanaye.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Diamond angekuwa hana msaada aingewanunulia nyumba watoto wake waishi,na asingewalipia bima za afya tatizo limeanzia pale huyo mama kupigwa chini hasira zake akaamishia kumnyiba baba haki ya msingi kuonana na watoto wake sambamba na kumnyima ushirikiano
 
Jibu kwanza hoja ya msingi Kodi ya nyumba huyo mama anapeleka wapi?alafu tuendelee na mengine.
 
nimesema la nyumba tuliache kwanza,lina story nyingi.

bima kila mwaka zinahitaji kurenew.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisaa,leo hii ukiuliza watoto kumi kwamba kati ya baba au mama nani afe wa kwanza,kura zote 10 zitamdondokea baba.
 
wewe unajua kampangisha nani,na analipwa shingapi kwa mwaka au mwezi!!!!

ni sawa na matumizi ya watoto kwa mwezi au mwaka,i meen ada,chakuka,mavazi na matibabu!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
je unajuaje kam Diamond hatumi pesa but labda je zinakataliwa na huyo mama ili kumkomoa but anajiliza mitandoni ili kumfanya domo aonekane mbaya?
 

Kama kiki our very own Diamond ni mwenyekiti wa watafuta kiki wote Africa mashariki na kati, well hiyo sio point.

Hamisa alienda mahakamani ndipo mtoto wake akatambuliwa na kuanza kutunzwa na kama upo fair utakumbuka walitaka kutokumtambua mtoto wa hamisa kwa sababu gani, Diamond na familia yake hawana cha kujustfy juu ya hili. Ni hamisa leo hii mnamtumia kama mfano wakati alistruggle hadi mahakamani juu ya child support! WCB acheni unafiki muambieni Diamond juu ya makosa anayoyafanya ambayo hata baba yake aliyafanya.

Zari hajalilia child support amemshade tu Diamond, am sure angelitaka angeongoza mahakani, Basi tunamchallenge Diamond amshtaki Zari kwa kumnyima access ya watoto wake, Hajali hivyo hawezi fanya hivyo, ndio kwanza anachekelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…