Zari amlipua Diamond kwamba hatoi hela ya matunzo ya watoto wake baada ya kutangaza kulipa kodi za kaya 500

Diamond alikuwa anatuma hela za matumizi sauzi Wala hzitumiwi boss lady anasema anapesa Wala Hana shida na pesa za tandale .

Haya jamaa akaamua kutulia Sasa hii corona omelets changamoto kubwa sana huko sauzi vile vyuo vya IVAN nahisi mapato yameshuka na Hana dili za uhakika muda ndio hapo hofu inakuja anawaza afanyeje ndio Mara diamond anaonekana kwenye social media atatoa michango ya Kodi kwa watu 500 na yeye kapata pankusemea pakuoumulia

Acheni jeuri mtu wa kwanza kujenga mahusiano mazuri ya malezi anapswa kuwa zari sababu alishaharibu huko nyumo kwa kuleta jeuri maji yamemfika shingoni five kids to live the same luxury life lazima atafute pakutokea [emoji3]

Hivi si ana ana Yule boyfriend wake bilionea anamuoneshaga kofia tu Yule sijui naninai bae[emoji1787]

Mbona analia anali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yan nashangaa ni wapi zari alipolilia matunzo. Watu wanabadilisha hoja wakati picha ipo clear diamond ana jimwambafy kutaka kulipia watu kodi huku hajatuma hata 10 kwa watoto wake.
 
Wewe ulishawahi kutom support diamond hata kny pumba??
 

Aombe legal support wakati anajua watoto kawatelekeza mwenyewe? Na after ile interview ya Zari; mbona alinyamaza kimya? Dai umuongelee uongo afu akuache weeeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We unachekesha kweli...

Zari anamuita Diamond mbwa kwenye social media ambapo ana millions of followers, halafu unategemea the so called mbwa atume hela za matunzo ya watoto?, we ulishawahi kuona mbwa anatuma hela za matunzo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na Mimi nakuomba kafuatilie interview aliyoifanya diamond wasafi block 89 au nenda video fupi kapost account ya carrymastory ya Instagram utaona Kati ya zari na diamond Nani Ni mjeuri? Kiufupi ile interview ya diamond ndo alimaliza kila kitu ndomaana huyo zari ukienda social network kakosa sapoti kubwa ya watu tofauti na alivyotegemea sasa hiv anakula za uso tu.
 

Mengine unayasema wewe pengine unayaelewa vizuri na unaweza kuyaelezea, vyuo, sijui boyfriend hayo ya kwenu. Point hapa ni kuwa Zari amemwambia Diamond charity begins at home na ujumbe umefika mahala pale naona chawa wa Diamond wote mmejitokeza mnakoishi, teh.
 
Hiyo interview unayo ing'ang'ania mbona zari alisha ijibu. Baada ya kujibiwa mbona hakunyanyua mdomo tena. Vipi mtoto wenu wa kenya matunzo mmeshatuma au vidomo tu
 
Aombe legal support wakati anajuz watoto kawatelekeza mwenyewe? Na after ile interview ya Zari; mbona alinyamaza kimya? Dai umuongelee uongo afu akuache weeeee

Sent using Jamii Forums mobile app

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mi nimemchallenge kama anajali akaombe legal support watoto si wa kwake yeye hawataki kwani? Hehehhe [emoji23][emoji23][emoji23] mtu ambaye hataki kuelea watoto wake kwa excuses!!!!

Halafu alisema ile nyumba ningeweza kuiuza juu kwa juu wakiwemo humo, hakumbuki Mwanae alikuwa akilelewa kwa nyumba ya mwanaume mwingine hadi waliponunua nyumba yao na kwa busara tu mama hawezi acha watoto wengine huku wengine huku akaamua kuwakusanya wote sehemu moja awalee, halafu anakuja kuropoka jambo kama hili and wenzio wapo hapa kumtetea [emoji3]
 
Hiyo interview unayo ing'ang'ania mbona zari alisha ijibu. Baada ya kujibiwa mbona hakunyanyua mdomo tena. Vipi mtoto wenu wa kenya matunzo mmeshatuma au vidomo tu
Zari safari hii kaingia choo Cha kiume solution pekee aliyobakiwa nayo Ni kuongea diamond na kujua namna gani wanasaidiana tofauti na hapo public sympathy haitamsaidia na watanzania watampuuza kama wanavyofanya sasa.
 
Yan nashangaa ni wapi zari alipolilia matunzo. Watu wanabadilisha hoja wakati picha ipo clear diamond ana jimwambafy kutaka kulipia watu kodi huku hajatuma hata 10 kwa watoto wake.

Labda kama wanamatatizo ya uelewa, ukisoma yale maneno hayaoneshi kama mtu analia lia, yanaonesha mtu anayeshangaa.
 
Ya block 89 niliisikiliza; ila Zari alipokuja kuongea, mtu yeyote mwenye akili timamu atajua nani anasema ukweli. Afu baada ya interview ya Zari mbona Dai hakujitokeza kupinga? I won't trust a man who denied his own blood publicly. Kwa uongo tu yupo vizuri Father Abraham.

Btw wote ni wajeuri; ila Dai ni mjinga pia.
 

Kwahiyo Diamond ni mbwa asiyeweza kutuma hela ya matunzo? [emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…