Zari amlipua Diamond kwamba hatoi hela ya matunzo ya watoto wake baada ya kutangaza kulipa kodi za kaya 500

Hata huyu ndugu yetu ana matatizo, kipindi kile anamkana hamisa na mwanaye mpaka hamisa alipotoa ushaidi ndo Jamaa akakubali,. Huo ni uthibitisho tosha kujua kua huyu jamaa ana matatizo,na kwa naoa anavyowaacha anawaacha kwa kuwaumiza lazima wawe na vinyongo
 
Ninachokiona ni kwamba Zari ana muonekano mzuri ila ni jeuri ndani ya nyumba, kiburi chake huenda ndio kimemkimbiza Diamond, mwanamke hata umeremete kama dhahabu ikiwa huna adabu kwa mumeo unataka umpande kichwani hovyo hovyo, hayo ndio madhara yake, utaileza nini dunia, watoto wanauraia wa southafrica, mama raia wa uganda. Iweje atokee mtanzania mmoja aseme yeye ndo baba? Watafutie watoto baba yao wakizulu huko, acha mahoka, tulia watu walipiwe kodi wewe.
 
Tatizo wivu ,anatamani na yeye angefanya hivyo South Africa ama Uganda ila ndo hivyo uwezo huo hana. Kambadili tifa uraia bila Mondi kujua. Anakatalia watoto wasije kumwona baba yao.
Mondi yeye siyo mjinga kiasi hicho.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]hapo sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa baba mwenye nyumba
 
Kama DOMO angekuwa anatoa matunzo kwa watoto wake Zari asingelalamika,hata kama zari anapesa DOMO atimize majukumu yake kwa familia,kitendo cha kugawa hzo mili 22 kwa familia 500 huku hata wanae kuwalipia Bima ya afya ya mil 2 kwa mwaka kashindwa ni ujinga.
 
Kutunza watoto sio kumwaga mapesa.. Kama anaweza kugharamia milioni moja, asilazimishwe kugharamia milioni hamsini ndio aonekane anatunza watoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…