Mbona baba yake kashapata nae muda mrefu mpaka kwenye 40 ya mtoto wa Tanasha alialikwa na akapewa treatment nzuri hata muonekane wa baba yake wa sasa hivi amenenepa.Sasa huyu dogo huwa anamkomalia nini mshua wake wakati na yeye anafanya kama yeye tu alivyomfanyia.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mashabiki wa mondi kuna siku ataziba mdomo na kuongea na ta.ko na bado wakamsifu
♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Wapi kunateketea mkuu? Kigoma au? Usitegemee zari afurahi, na yote hii sionishu ya watoto. Ni wivu kwa mzazi mwenzie.
Ametaka tu mjue kuwa mnalipiwa kodi na mtu ambaye hawajibiki kwenye malezi ya watoto wake.
Nani kasema zari anateseka!? Kikubwa yakupasa uelewe ujumbe wa Zari kuhusu tabia ya domoUyo zari mwache aendelee kula jeuri yake.
Wanawake type ya Zari ni wakupuuzwa wamejaa viburi na hupenda kuonekana wao ndio wako responsible
Ingekuwa kweli zari anataka msaada wa mzazi mwenza kama anavyodai asingemblock diamond,angeruhusu watoto kumtembelea baba yao bongo, asingebadili uraia wa watoto bila ridhaa ya baba yao,asingekuwa anawapeleka watoto kanisani wakati baba yao Ni muislamu,asingekuwa anatoa kauli za matusi kwa mzazi mwenzake mwisho kabisa atengeneze mahusiano mazuri na mzazi mwenza kwanza sizani Kama diamond awezi kutoa Kama amewanunulia nyumba kabisa south anashindwaje kuwahudumia tofauti na nilichoongea hapo zari atakuwa anatafuta Kiki kwa pikipiki.Nani kasema zari anateseka!? Kikubwa yakupasa uelewe ujumbe wa Zari kuhusu tabia ya domo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hataki kumuachie watoto akae nao kama sios staili ya kumdangia mzaz mwenzake ni niniMwanamama mrembo na mjasiliamali Zari the Bosslady aliyezaa watoto 2 na Diamond Platnumz amemlipua mzazi huyo mwenzie baada ya kutangaza kulipia makazi kata 500 wakati hajua watoto wake wamekula Nini wala wamelala vipi.
Zari anamwambia Diamond huwezi furahisha dunia wakati wakwako hawana furaha na wewe wala kuwajali.
View attachment 1430809
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali zuri akikujibu nitagMbona hataki kumuachie watoto akae nao kama sios staili ya kumdangia mzaz mwenzake ni nini
Swali zuri.Kwani ile nyumba ya Diamond kule SA imepangishwa ? Je kodi anachukua nani?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Zari kashindwa kutengeneza mahusiano mazuri na mzazi wake huo msaada ataupataje?Yeye ndiye ameblock diamond kwani sisi ndio tuliomtuma amblock?Yeye kashindwa kutengeneza mazingira rafiki kwa mzazi mwenza kutoa huduma anakuja public sisi tutamsaidiaje?This is sad,
Timu Mondi mmejaaa mapumba aisee...swala la kubadilisha uraia kwenda south africa..Zari ni mama anayejali future ya wanae..kumbukeni South Africa ni moja ya nchi tajiri Africa,mama gani asingechukua hio opportunity??? BIG UP ZARI....
Eti anampeleka watoto kanisani,ndio ususe kulea wanao??,hao watoto ni wadogo...wakifika 18 ndio wanaweza kufanya maamuzi wachukue dini gani..Mondi anaweza kuwapeleka kila siku Madrasa na kuswali msikitini,ila ikifika umri wa kuchagua wanaweza kuchukua ukristu mpooo???
Kuwaona watoto mnasema Zari hawaleti wanae kumuona baba yao,huyo Mondi kapanda ndege kwenda kuwaona wanae akakataliwa kuwaona????..kwanza ingekua ni mimi hata ukipanda ndege huwaoni ng'o..hela ya matumizi hutoi bado unataka kuwaona watoto.. kwani wamekua wana sesere au midoli hao?