Huyo mama ana matatizo yeyemwenyewe na kupenda Kiki za kipuuzi issue yake Ni ndogo ila anaikuza Iwe kubwa zari amemblock diamond,watoto kawazuia kuja huku Tanzania kumuona baba yao, angekuwa kweli ana Nia ya dhati ya kusaidiana na diamond kwanini anamuwekea diamond kauzibe? Kwanini inakuwa ngumu kwake kumpa diamond ushirikiano alafu aone Kama kweli diamond atatoa huduma.Kuna tofauti kati ya Dhambi na Uovu.
Dimond anaiogopa dhambi na kuukumbatia uovu!
Si wanajiitaga maboss lady wapambane na Hali zao huyo anatafuta Kiki kwa pikipiki.huyo nae alikubali mwenyewe kuwa incubator.atulie
Sijaona sababu ya msingi ya Diamond kuto kuhudumia watoto wake either wamekosana au wana elewana na mzazi mwenzakeYeye kataka kushindana na mwanaume wake,haiwezekani ukambadilisha uraia mtoto bila kumshirikisha mwanaume,kisa una hela alafi mwanaume akuchekee
Mbona Hamisa sasa hivi halalamiki na mtoto huwaga anampeleka kwa baba yake siku moja moja,yy mtoto kambadilisha uraia kilazima na kwa baba yao hutaki kuwa peleka.Mbona hajaumia mwaka jana alivyo kabizi pikipiki kwa bodaboda wa Tandale,kutoa matank kwa baadhi ya shule za tandale pamoja na Insurance.
Yeye tatizo anajiona ana hela,yeye kiburi kakutana na jeuri na ndio maana baadhi ya wanaume tunaogopa kuoa wanawake wenye hela.
Mwisho wa siku anawavuruga watoto wanakuwa kama digidigi manake baba Mtanzania,Mama Mganda,Watoto wana uraia wa Afrika kusini,wakati yy hajaukana uraia wa Uganda ila kwa makusudi kawapa watoto uraia wa SA.
Hiyo haitoshi unawapeleka watoto Kanisani,wakati baba yao muislam.
[emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sanaHapo amefura kama kifutu kwanini Zari anamsema Chibu Ake
Issue ya Zari inanikera ndo maana wanawake wenzake wengi wanamchukia kutokana kujiona boss lady ajifunze kwa madam Rita kinachomtokea baada ya kufa mengi sasa tunakuja na kauli kila #Nyuma ya boss lady Kuna sponsor.Mwambie aache ujeuri ashirikine na mwenza wake watengeneneze familia vizuri kuliko kutafuta kiki + public sympathy haitamsaidia.
Mbona issue Ni mbili tofauti baba yake alimkataa ila kwa issue hii ya zari huyo zari ndio mwenye matatizo yeye ndo anaweka kauzibe kwanza kamblock kuanzia kwenye simu mpaka kwenye social network ,kawazuia watoto wasije Tanzania kuonana na baba yao anashindwa kutoa ushirikiano mzuri kwa mzazi mwenzake alafu eti anaenda kulalamika apewi huduma public hizi Kama sio Kiki Ni Nini ampe ushirikiano mzuri diamond aone Kama diamond atatoa huduma.
Tiffah alizaliwa wapi?Hv kaka ww mkeo akizaa sudan, hao watt watakua na uraia wa wapi?!
Au tunapenda ongelea vya watu visivyotuhusu
Kwan diamond hawamfahamu watanzania? huyo anatafuta Kiki na si tunamfahamu vizuri Sana zari, zari Ni mwanamke wakutafuta Kiki Sana hata kwenye mambo ambayo ni useless mbona hamisa mobetto alalamiki Tena walikuwa awapo vizuri na diamond wakaa chini na wakayamaliza na hamisa mobetto akakili kabisa wakati anafanyiwa mahojiano na Sam wa misago akasema diamond anahudumia vizuri Sana na sometime anawaona watoto wake?huyo zari anashindwa vipi kukaa na diamond wakajenga kuliko kukimbilia publicKama kuchukiwa hata Diamond anachukiwa, celeb wote wana fans na wana haters what’s your point here. Diamond hatunzi watoto wake na hana historia nzuri ya malezi period ndio ulikuwa mjadala wa msingi hapa. Kama unaona Zari anafaidi kujifanya Bosslady na wewe jifanye ili muende sawa maana sioni point ya wewe kulikazania hilo.
Mi ni fan wa Diamond we all knows hapa JF unlike nyie mashabiki wa Diamond hamuwezi kabisa kumkosoa Diamond anapokosea, Cha ajabu wahusika wote wa WCB wanalea watoto wao ni Diamond tu analeta pride sababu ni star mkubwa, nonsense!
Mwisho Zari ni kati ya wanawake ambao hawajawahi kuvictimize, hivyo usifikirie kuwa anatafuta huruma ya jamii, amemblast Diamond watu wamjue side yake ya pili and thats it!
Kweli kwako unaweza ukaona hamna sababu ya msingi,ila yule demu ana kiburi za fedha,kwake anaona fedha ndio kila kitu.Sijaona sababu ya msingi ya Diamond kuto kuhudumia watoto wake either wamekosana au wana elewana na mzazi mwenzake
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiacha hivyo huyo mama kawazuia watoto wasimuone baba yao Kama mama utoi ushirikiano kwa mzazi mwenza unakuja kulalamika public ili iwejeKweli kwako unaweza ukaona hamna sababu ya msingi,ila yule demu ana kiburi za fedha,kwake anaona fedha ndio kila kitu.
Hivi wewe kweli kama mwanaume,unaweza ukakubali ,ukakubali mtoto wako abadilishwe uraia? Yote tisa kumi unawapeleka Kanisani,manake swala kama la imani swala jingine kabisa,kama Mondi angekuwa mtu wa swala tano hii kesi kubwa,sometimes inaweza hata ukasababisha kupotea kwa uhai wa mtu.
Siku zote mwanaume anahitaji kusikilizwa na kuheshimiwa ila kama mwanamke akikuzidi kipato ni ngumu sana kukusikiliza,wachache sana ambao wana hofu ya Mungu wanaweza wakamsikiliza mwanaume ambaye amemzidi kipato.
Zari na Mondi wanaonyeshana,Zari tokea mwanzo anamwonyesha Mondi sio kitu anaweza somesha na kuwapatia mahitaji yote muhimu bila Mondi ndio maana kaamua,kumbadilisha uraia na kuwapeleka kanisani.
Mondi nae kaona kazarauliwa ,watoto baki ukitaka huduma yangu basi lazima wafuate vile nitakavyo mimi.
Na ndio maana mahusiano kama haya mnapoteza mda mwingi kwenye mashindani,baada ya kulea watoto.
kiburi chake ndio kimekimbiza diamond[emoji874]Ninachokiona ni kwamba Zari ana muonekano mzuri ila ni jeuri ndani ya nyumba, kiburi chake huenda ndio kimemkimbiza Diamond, mwanamke hata umeremete kama dhahabu ikiwa huna adabu kwa mumeo unataka umpande kichwani hovyo hovyo, hayo ndio madhara yake, utaileza nini dunia, watoto wanauraia wa southafrica, mama raia wa uganda. Iweje atokee mtanzania mmoja aseme yeye ndo baba? Watafutie watoto baba yao wakizulu huko, acha mahoka, tulia watu walipiwe kodi wewe.
Jf kuna makurutu wengi sanaYeye kataka kushindana na mwanaume wake,haiwezekani ukambadilisha uraia mtoto bila kumshirikisha mwanaume,kisa una hela alafi mwanaume akuchekee
Mbona Hamisa sasa hivi halalamiki na mtoto huwaga anampeleka kwa baba yake siku moja moja,yy mtoto kambadilisha uraia kilazima na kwa baba yao hutaki kuwa peleka.Mbona hajaumia mwaka jana alivyo kabizi pikipiki kwa bodaboda wa Tandale,kutoa matank kwa baadhi ya shule za tandale pamoja na Insurance.
Yeye tatizo anajiona ana hela,yeye kiburi kakutana na jeuri na ndio maana baadhi ya wanaume tunaogopa kuoa wanawake wenye hela.
Mwisho wa siku anawavuruga watoto wanakuwa kama digidigi manake baba Mtanzania,Mama Mganda,Watoto wana uraia wa Afrika kusini,wakati yy hajaukana uraia wa Uganda ila kwa makusudi kawapa watoto uraia wa SA.
Hiyo haitoshi unawapeleka watoto Kanisani,wakati baba yao muislam.
kiburi chake ndio kimekimbiza diamond[emoji874]
wema,peni,hamisa,tanasha nini kilimkimbiza mond!!!
huyu jamaa anaishi kisanii,tatizo wanazi wake hamuelewi kama mwenzenu anaishi kisanii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ulitaka niandikaje?Jf kuna makurutu wengi sana
Umeandika kwa huruma n kama
Ww ndo umetelekezwa
stidy
umesikia kuna mtoto wa kiba analalamikia matunzo mzee.Sawa mnazi wa Kiba alizaa na watoto wanne na kukimbiwa na wanawake wanne,plus na Diva mchepuko.
Mimi naona zari ndio mwenye shida nyodo nyingi kumbe mfukoni apeche alolo,mwanaume haletewi jeuri[emoji23][emoji23][emoji23] bosslady lakin ana haki ya kulalamika
Sent using Jamii Forums mobile app