Zari amlipua Diamond kwamba hatoi hela ya matunzo ya watoto wake baada ya kutangaza kulipa kodi za kaya 500

Malizia na umri wa zari ni sawa na landrover 109 model yani kikongwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo wivu ,anatamani na yeye angefanya hivyo South Africa ama Uganda ila ndo hivyo uwezo huo hana. Kambadili tifa uraia bila Mondi kujua. Anakatalia watoto wasije kumwona baba yao.
Mondi yeye siyo mjinga kiasi hicho.
Mkuu umemaliza yote ambae hajakuelewa akanywe yukozuna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jomba izzo mfukoni hana kitu ataendaje usa,labda tumchangie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaachana na wanawake wanne nini kilimkimbiza Kiba?

Ina maana kwa kuwa hatusikii mitandaoni ndio hana matatizo na wanawake wake alio waacha?
sasa wewe unadhani matatizo ya kifamilia kuruka mitandaoni ni kwa sababu wewe msanii sana au hujitambui.

kila familia hata zetu tusio wasanii zina shida somtime,ila tunatofautiana staha,kuna watu.hata mama yake akiwa mwezini anatamani tungejua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanaume yoyote ambaye ameshawahi ku
pitia mgogoro na mzazi mwenzake hawezi kumlaumu Diamond.... wanawake nyie ni tatizo KUBWA sana mara nyingi hampendi watoto wenu wawe na mapenzi na baba zao,chunguza hili.
 
Nashukuru umekubali matatizo wanayo pamoja na usiri wao na unaweza ukashangaa matatizo yake makubwa kuliko ya Mondi,ila kwa kuwa Mondi lazima ushike bango bila hata kumsikia Mondi kauli yake na ww kwa unazi wako kwa Kiba Mondi hata aongee nini huwezi mwelewa.

Najua unayajua ya Mondi sababu amezaa na wanawake maarufu hasa wa mitandaoni na yy mtu wa mitandao na ndio maana unamzungumzia.
 
hizi ni hisia zako umeandika hapa.

kwanini nisimuelewe mond kama anazo hoja za msingi za kueleza!!!au unadhani mimi mshabiki maandazi kama nyinyi!!tofauti na wengi tunavyotegemea kila akihojiwa badala ajibu mambo kiume huwa anatu disapoint.kiba mara zote amekuwa akisimama upande wetu wanaume ndio maana tunamuelewa,wewe huoni ni kwanini mambo yake ya ndani hauyajui unahisi tu???

nakumbuka swala la zari aliishaulizwa akajibu huyu mwanamke alikuwa anani cheat na psquare[emoji23][emoji23][emoji23],yaani kusema hauhudumii watoto kisa hawaletwi uwaone ni akili za kitoto kabisa.ugomvi wako wewe na mzazi mwenzio malaika wa miaka 5 au minne unamuhusu nini!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanaume yoyote ambaye ameshawahi ku
pitia mgogoro na mzazi mwenzake hawezi kumlaumu Diamond.... wanawake nyie ni tatizo KUBWA sana mara nyingi hampendi watoto wenu wawe na mapenzi na baba zao,chunguza hili.
kosa kubwa ukikubali hilo litokee,leo ni watoto,wanayo nafasi kubwa kuja kuchambua baadae wakajua nani alikuwa mafuta na nani alikuwa kineriti.

wewe hudumia bana,mtoto akifika 12 tu,tayari ana uwezo wa kujua kila kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kujibu mambo kiume kupoje?

Kiba huwaga anajibu kiume kwani ushawahi kusikia mambo yake na wanawake zake wanne?

Kwani wewe ulitaka asemeje kwamba hamcheat?

Nakuambia kitu kimoja yule Dem wa Mombasa atayatapika ya Kiba,mda si mrefu itunze hii post,sababu naye anapenda umbeya.
 
Zari Ni ujeuri wake ndo unamuangamiza
 
Anahudumiaje ikiwa mzazi mwenza aoneshi ushirikiano alafu anakuja kulalamika public
 
kiburi chake ndio kimekimbiza diamond[emoji874]

wema,peni,hamisa,tanasha nini kilimkimbiza mond!!!

huyu jamaa anaishi kisanii,tatizo wanazi wake hamuelewi kama mwenzenu anaishi kisanii.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na Mimi nakuuliza nitajie hao wanawake wote uliowataja yupi Kati yao ameolewa au ana bwana ameamedumu nae more than one year?
 
wanaume tuna kawaida ya kuwahifadhi wanawake,achilia mbali mzazi mwenzako.

ndio maana baba yako huwezi sikia anatangaza hata mkewe awe kicheche namna gani.maana ukijaribu kuishusha heahima ya mwanamke wako wa karibu na ya kwako itashuka tu.

mimi nasubiri hiyo siku mke wa kiba anahojiwa na wasafi,analia akilopoka kila kitu[emoji3][emoji3][emoji3].



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mama anatafuta Kiki kwa pikipiki yeye ndo ameblock, Yeye ndio amezuia watoto wasije Tanzania kumuona baba yao,hao watoto kawabadilisha uraia bila mondi kujua,ukiacha hivyo amekuwa akimtukana diamond Sana diamond kaa kimya Mara amwiite umbwa, huyo huyo mama alimwambia diamond atahudumia kila kitu pesa zake hazitaki Leo hii analalamika public ikiwa wewe Kama mwanaume unamuelewaje?
 
Angaletaka watoto wake wafate imani yake angetafta mtu wa imani yake huwezi kuzaa na mtu wa Iman tofauti na yako arafu ukomae watoto waende kwenye imani yako ilihali hauishi nao Zari at wafundisha vp uisilamu wakati yeye ni mkristo? ni kosa la Baba . Hayo mambo anayo mfanyia Baba yake atakuja kufanyiwa na hao watoto wake time will tell
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…