Zari amlipua Diamond kwamba hatoi hela ya matunzo ya watoto wake baada ya kutangaza kulipa kodi za kaya 500

Zari amlipua Diamond kwamba hatoi hela ya matunzo ya watoto wake baada ya kutangaza kulipa kodi za kaya 500

Kama DOMO angekuwa anatoa matunzo kwa watoto wake Zari asingelalamika,hata kama zari anapesa DOMO atimize majukumu yake kwa familia,kitendo cha kugawa hzo mili 22 kwa familia 500 huku hata wanae kuwalipia Bima ya afya ya mil 2 kwa mwaka kashindwa ni ujinga.
Kama wewe ni mwanaume nadhani umri wako ni mdogo, kwa maana ya kuwa hujawahi kimbana na wanawake jeuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema kaishajifunza, bahati nzuri mimi sio mfuatiliaji wa hayo mambo on daily basis

Kitu nilichokuwa najua ni kwamba alim fungia vioo dingi yake kisa maneno ya mama yake bila kujali the whole picture
Mbona washamalizana na Baba yake na siku mpaka event za Diamond ana huzuria au labda ww ulitaka afanye nini manake wabongo kila kitu akifanyacho Diamond mnasema KIKI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna jamaa mmoja nae anaitwa IZZO BUSINESS ananisikitisha sana kazaa na Yule manzi wake shombe wa kihaya na kimarekani watoto mapacha wanafanana ile mbaya na baba yao jamaa kakausha kimya

Hadi dada wawatu ana post masikitiko yake huko insta .

Izzo businy nenda kaone watoto wako marekani usije ukasema hutaki shobo .

Wale wanao kabisa zile sura za ki-simwinga kabisa

Na bahati nzuri mdogo wako Patrick nilisoma nae seko
So sura zenu hazipotei
Sent using Jamii Forums mobile app
Kesi ya huyo dada ni tofauti na ya Zari huyo dada ana haki ya msingi cos alimjulisha kabisa izzo b ila kwa Zari yanamtokea kwa ujeuri wake zari kablock diamond watoto hawapeleki kwa baba yao,ushirikiano atoi kwa mzazi mwenza alafu eti leo anadai child support public
 
Nimesoma umeandika msaada au? Mshaurini Diamond afuate sheria kutunza watoto wake kama anaona mzazi mwenzie hampi ushirikiano aende mahakamani ili tumuone yeye ni baba bora, mnamtetea Diamond historia ina mhukumu alishawahi kupelekwa mahakamani kutunza mtotowe kwa hamisa, sasa ni wakati wake wa kumsue Zari sababu Zari si mama mzuri [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ishu ya Zari Ni ndogo Sana SEMA yeye anaifanya iwe kubwa ndo maana kakosa sapoti ya watanzania kuunga hoja malalamiko yake ingekuwa diamond kakataa kutoa huduma au kulea watoto hiyo issue ingekuwa sensitive tatizo huyo mother anajifanya boss lady na ana maneno ya shombo kwa mzazi wake hivi Nani alisema anaweza kulea watoto bila sapoti ya baba?sasa inakuaje leo unalialia sapoti ya mondi? Wakati wewe mwenyewe kwa hiyali yako umesema bila kushikiwa panga na wewe pia ndo uliomblock mzazi mwenzako Leo unakuja kulilia public watu wakueleweje? Badala ya kuongea na mwenza wako Mjue mnafanyaje wewe unaongea public sisi tufanyeje?
 
Kama wewe ni mwanaume nadhani umri wako ni mdogo, kwa maana ya kuwa hujawahi kimbana na wanawake jeuri

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo atakuwa mwanafunzi wa o'level haya mambo yamempita kushoto zari angekuwa anataka kweli msaada kwa mzazi mwenza asingemblock diamond pia angekuwa anatoa ushirikiano nzuri na mzazi mwenza lakini kwasababu Ni jeuri na anataka kuonekana ana hela + kutafuta Kiki anaenda public badala ya kumaliza na mzazi mwenza
 
Ishu ya Zari Ni ndogo Sana SEMA yeye anaifanya iwe kubwa ndo maana kakosa sapoti ya watanzania kuunga hoja malalamiko yake ingekuwa diamond kakataa kutoa huduma au kulea watoto hiyo issue ingekuwa sensitive tatizo huyo mother anajifanya boss lady na ana maneno ya shombo kwa mzazi wake hivi Nani alisema anaweza kulea watoto bila sapoti ya baba?sasa inakuaje leo unalialia sapoti ya mondi? Wakati wewe mwenyewe kwa hiyali yako umesema bila kushikiwa panga na wewe pia ndo uliomblock mzazi mwenzako Leo unakuja kulilia public watu wakueleweje? Badala ya kuongea na mwenza wako Mjue mnafanyaje wewe unaongea public sisi tufanyeje?

Kwahili wanaume wa kiTz lazima mshinde, mtu akijifanya Bosslady, akiongea shombo, akiblock account za (insta) [emoji3] inahusiana nini na baba mtu kufuata utaratibu wa kuchangia malezi ya mtoto, mbona mnataka kujifanya Diamond ni baba bora as if kuna mtoto wake yeyote anamlea while hamlei mtoto yeyote isipokuwa hadi alazimishwe? Zari tunamjua ni mama bora hasa likija swala la ulezi ndio maana mnawaona hao akina Tee wanakuwa wanaafya na wanapendeza, chochote anachokifanya Zari hakimpi excuse Diamond kutochangia malezi ya mtoto wake..... nimekuuliza vipi kuhusu masuala ya kisheria? Diamond kwanini asiende kwenye sheria ili apate haki ya kuwalea watoto wake? Anajali? Jibu ni hajali... ukweli ni kuwa the guy is arrogant too.... kwanini mmemkalia Zari kooni as if ni pekee mwenye matatizo.
 
Kama wewe ni mwanaume nadhani umri wako ni mdogo, kwa maana ya kuwa hujawahi kimbana na wanawake jeuri

Sent using Jamii Forums mobile app
Zari sio mjinga wewe BUMUNDA ,Boss wenu DOMO hatoi pesa ya matumizi kisa eti zari ana fedha,mwambie Boss wenu kabla ya kulipia watu kodi awalipie watoto wake bima ya afya!! Hata kama zari ni tajiri watoto wanalelewa na baba na mama asimwachie majukumu yote zari.
 
Kwahili wanaume wa kiTz lazima mshinde, mtu akijifanya Bosslady, akiongea shombo, akiblock account za (insta) [emoji3] inahusiana nini na baba mtu kufuata utaratibu wa kuchangia malezi ya mtoto, mbona mnataka kujifanya Diamond ni baba bora as if kuna mtoto wake yeyote anamlea while hamlei mtoto yeyote isipokuwa hadi alazimishwe? Zari tunamjua ni mama bora hasa likija swala la ulezi ndio maana mnawaona hao akina Tee wanakuwa wanaafya na wanapendeza, chochote anachokifanya Zari hakimpi excuse Diamond kutochangia malezi ya mtoto wake..... nimekuuliza vipi kuhusu masuala ya kisheria? Diamond kwanini asiende kwenye sheria ili apate haki ya kuwalea watoto wake? Anajali? Jibu ni hajali... ukweli ni kuwa the guy is arrogant too.... kwanini mmemkalia Zari kooni as if ni pekee mwenye matatizo.
Issue ya Zari inanikera ndo maana wanawake wenzake wengi wanamchukia kutokana kujiona boss lady ajifunze kwa madam Rita kinachomtokea baada ya kufa mengi sasa tunakuja na kauli kila #Nyuma ya boss lady Kuna sponsor.Mwambie aache ujeuri ashirikine na mwenza wake watengeneneze familia vizuri kuliko kutafuta kiki + public sympathy haitamsaidia.
 
Yeye kataka kushindana na mwanaume wake,haiwezekani ukambadilisha uraia mtoto bila kumshirikisha mwanaume,kisa una hela alafi mwanaume akuchekee

Mbona Hamisa sasa hivi halalamiki na mtoto huwaga anampeleka kwa baba yake siku moja moja,yy mtoto kambadilisha uraia kilazima na kwa baba yao hutaki kuwa peleka.Mbona hajaumia mwaka jana alivyo kabizi pikipiki kwa bodaboda wa Tandale,kutoa matank kwa baadhi ya shule za tandale pamoja na Insurance.

Yeye tatizo anajiona ana hela,yeye kiburi kakutana na jeuri na ndio maana baadhi ya wanaume tunaogopa kuoa wanawake wenye hela.

Mwisho wa siku anawavuruga watoto wanakuwa kama digidigi manake baba Mtanzania,Mama Mganda,Watoto wana uraia wa Afrika kusini,wakati yy hajaukana uraia wa Uganda ila kwa makusudi kawapa watoto uraia wa SA.

Hiyo haitoshi unawapeleka watoto Kanisani,wakati baba yao muislam.
Hv kaka ww mkeo akizaa sudan, hao watt watakua na uraia wa wapi?!
Au tunapenda ongelea vya watu visivyotuhusu
 
Hv kaka ww mkeo akizaa sudano atakua na uraia wa wapi?!
Au tunapenda ongelea vya watu visivyotuhusu
Atoe ushirikiano mzuri kwa diamond alafu aone Kama diamond atatoa huduma kuliko kutafuta kiki public tofauti na hapo atakula za uso.
 
Atoe ushirikiano mzuri kwa diamond alafu aone Kama diamond atatoa huduma kuliko kutafuta kiki public tofauti na hapo atakula za uso.
Hayo yote sio shida ila sio pumba anazoongea huyo jamaaa.

Sema punguzeni kufatailia maisha ya wenzenu wakati yenu hamuyaelew
 
Mwanamama mrembo na mjasiliamali Zari the Bosslady aliyezaa watoto 2 na Diamond Platnumz amemlipua mzazi huyo mwenzie baada ya kutangaza kulipia makazi kata 500 wakati hajua watoto wake wamekula Nini wala wamelala vipi.

Zari anamwambia Diamond huwezi furahisha dunia wakati wakwako hawana furaha na wewe wala kuwajali.

View attachment 1430809

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna tofauti kati ya Dhambi na Uovu.

Dimond anaiogopa dhambi na kuukumbatia uovu!
 
Back
Top Bottom