Kashamalizana na baba yake mbona muda sasa mzee wake kanenepa Sana au hili limekupitaDiamond ajifunze, sio kumnunia baba yake
Pengine hata mama yake alikuwa kichomi kwa baba yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kashamalizana na baba yake mbona muda sasa mzee wake kanenepa Sana au hili limekupitaDiamond ajifunze, sio kumnunia baba yake
Pengine hata mama yake alikuwa kichomi kwa baba yake
Sent using Jamii Forums mobile app
HahaaaaaWe mbwa usinitag kama unanyonya magugu ya domo hyo ni wewe, nitolee Shobo zako.. nenden Uko mkalipiwe kodi Mpewe na mimba, mxieew mwana mjaalana uliyekosa laana mxiee
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kama wewe ni mwanaume nadhani umri wako ni mdogo, kwa maana ya kuwa hujawahi kimbana na wanawake jeuriKama DOMO angekuwa anatoa matunzo kwa watoto wake Zari asingelalamika,hata kama zari anapesa DOMO atimize majukumu yake kwa familia,kitendo cha kugawa hzo mili 22 kwa familia 500 huku hata wanae kuwalipia Bima ya afya ya mil 2 kwa mwaka kashindwa ni ujinga.
Mbona washamalizana na Baba yake na siku mpaka event za Diamond ana huzuria au labda ww ulitaka afanye nini manake wabongo kila kitu akifanyacho Diamond mnasema KIKI.
Kesi ya huyo dada ni tofauti na ya Zari huyo dada ana haki ya msingi cos alimjulisha kabisa izzo b ila kwa Zari yanamtokea kwa ujeuri wake zari kablock diamond watoto hawapeleki kwa baba yao,ushirikiano atoi kwa mzazi mwenza alafu eti leo anadai child support publicKuna jamaa mmoja nae anaitwa IZZO BUSINESS ananisikitisha sana kazaa na Yule manzi wake shombe wa kihaya na kimarekani watoto mapacha wanafanana ile mbaya na baba yao jamaa kakausha kimya
Hadi dada wawatu ana post masikitiko yake huko insta .
Izzo businy nenda kaone watoto wako marekani usije ukasema hutaki shobo .
Wale wanao kabisa zile sura za ki-simwinga kabisa
Na bahati nzuri mdogo wako Patrick nilisoma nae seko
So sura zenu hazipotei
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa.kwa wanawake viburi sisi tuna juaga kuzalisha tu kulea mtajijua wenyewe na viburi na ujuaji mwiiingi mlionao
Sent using Jamii Forums mobile app
Ishu ya Zari Ni ndogo Sana SEMA yeye anaifanya iwe kubwa ndo maana kakosa sapoti ya watanzania kuunga hoja malalamiko yake ingekuwa diamond kakataa kutoa huduma au kulea watoto hiyo issue ingekuwa sensitive tatizo huyo mother anajifanya boss lady na ana maneno ya shombo kwa mzazi wake hivi Nani alisema anaweza kulea watoto bila sapoti ya baba?sasa inakuaje leo unalialia sapoti ya mondi? Wakati wewe mwenyewe kwa hiyali yako umesema bila kushikiwa panga na wewe pia ndo uliomblock mzazi mwenzako Leo unakuja kulilia public watu wakueleweje? Badala ya kuongea na mwenza wako Mjue mnafanyaje wewe unaongea public sisi tufanyeje?Nimesoma umeandika msaada au? Mshaurini Diamond afuate sheria kutunza watoto wake kama anaona mzazi mwenzie hampi ushirikiano aende mahakamani ili tumuone yeye ni baba bora, mnamtetea Diamond historia ina mhukumu alishawahi kupelekwa mahakamani kutunza mtotowe kwa hamisa, sasa ni wakati wake wa kumsue Zari sababu Zari si mama mzuri [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Huyo atakuwa mwanafunzi wa o'level haya mambo yamempita kushoto zari angekuwa anataka kweli msaada kwa mzazi mwenza asingemblock diamond pia angekuwa anatoa ushirikiano nzuri na mzazi mwenza lakini kwasababu Ni jeuri na anataka kuonekana ana hela + kutafuta Kiki anaenda public badala ya kumaliza na mzazi mwenzaKama wewe ni mwanaume nadhani umri wako ni mdogo, kwa maana ya kuwa hujawahi kimbana na wanawake jeuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe niambie kasemaje ila mambo yakuangalia video Ni kupoteza bando langu bure
Ishu ya Zari Ni ndogo Sana SEMA yeye anaifanya iwe kubwa ndo maana kakosa sapoti ya watanzania kuunga hoja malalamiko yake ingekuwa diamond kakataa kutoa huduma au kulea watoto hiyo issue ingekuwa sensitive tatizo huyo mother anajifanya boss lady na ana maneno ya shombo kwa mzazi wake hivi Nani alisema anaweza kulea watoto bila sapoti ya baba?sasa inakuaje leo unalialia sapoti ya mondi? Wakati wewe mwenyewe kwa hiyali yako umesema bila kushikiwa panga na wewe pia ndo uliomblock mzazi mwenzako Leo unakuja kulilia public watu wakueleweje? Badala ya kuongea na mwenza wako Mjue mnafanyaje wewe unaongea public sisi tufanyeje?
Zari sio mjinga wewe BUMUNDA ,Boss wenu DOMO hatoi pesa ya matumizi kisa eti zari ana fedha,mwambie Boss wenu kabla ya kulipia watu kodi awalipie watoto wake bima ya afya!! Hata kama zari ni tajiri watoto wanalelewa na baba na mama asimwachie majukumu yote zari.Kama wewe ni mwanaume nadhani umri wako ni mdogo, kwa maana ya kuwa hujawahi kimbana na wanawake jeuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Issue ya Zari inanikera ndo maana wanawake wenzake wengi wanamchukia kutokana kujiona boss lady ajifunze kwa madam Rita kinachomtokea baada ya kufa mengi sasa tunakuja na kauli kila #Nyuma ya boss lady Kuna sponsor.Mwambie aache ujeuri ashirikine na mwenza wake watengeneneze familia vizuri kuliko kutafuta kiki + public sympathy haitamsaidia.Kwahili wanaume wa kiTz lazima mshinde, mtu akijifanya Bosslady, akiongea shombo, akiblock account za (insta) [emoji3] inahusiana nini na baba mtu kufuata utaratibu wa kuchangia malezi ya mtoto, mbona mnataka kujifanya Diamond ni baba bora as if kuna mtoto wake yeyote anamlea while hamlei mtoto yeyote isipokuwa hadi alazimishwe? Zari tunamjua ni mama bora hasa likija swala la ulezi ndio maana mnawaona hao akina Tee wanakuwa wanaafya na wanapendeza, chochote anachokifanya Zari hakimpi excuse Diamond kutochangia malezi ya mtoto wake..... nimekuuliza vipi kuhusu masuala ya kisheria? Diamond kwanini asiende kwenye sheria ili apate haki ya kuwalea watoto wake? Anajali? Jibu ni hajali... ukweli ni kuwa the guy is arrogant too.... kwanini mmemkalia Zari kooni as if ni pekee mwenye matatizo.
Hv kaka ww mkeo akizaa sudan, hao watt watakua na uraia wa wapi?!Yeye kataka kushindana na mwanaume wake,haiwezekani ukambadilisha uraia mtoto bila kumshirikisha mwanaume,kisa una hela alafi mwanaume akuchekee
Mbona Hamisa sasa hivi halalamiki na mtoto huwaga anampeleka kwa baba yake siku moja moja,yy mtoto kambadilisha uraia kilazima na kwa baba yao hutaki kuwa peleka.Mbona hajaumia mwaka jana alivyo kabizi pikipiki kwa bodaboda wa Tandale,kutoa matank kwa baadhi ya shule za tandale pamoja na Insurance.
Yeye tatizo anajiona ana hela,yeye kiburi kakutana na jeuri na ndio maana baadhi ya wanaume tunaogopa kuoa wanawake wenye hela.
Mwisho wa siku anawavuruga watoto wanakuwa kama digidigi manake baba Mtanzania,Mama Mganda,Watoto wana uraia wa Afrika kusini,wakati yy hajaukana uraia wa Uganda ila kwa makusudi kawapa watoto uraia wa SA.
Hiyo haitoshi unawapeleka watoto Kanisani,wakati baba yao muislam.
Atoe ushirikiano mzuri kwa diamond alafu aone Kama diamond atatoa huduma kuliko kutafuta kiki public tofauti na hapo atakula za uso.Hv kaka ww mkeo akizaa sudano atakua na uraia wa wapi?!
Au tunapenda ongelea vya watu visivyotuhusu
Hayo yote sio shida ila sio pumba anazoongea huyo jamaaa.Atoe ushirikiano mzuri kwa diamond alafu aone Kama diamond atatoa huduma kuliko kutafuta kiki public tofauti na hapo atakula za uso.
Kuna tofauti kati ya Dhambi na Uovu.Mwanamama mrembo na mjasiliamali Zari the Bosslady aliyezaa watoto 2 na Diamond Platnumz amemlipua mzazi huyo mwenzie baada ya kutangaza kulipia makazi kata 500 wakati hajua watoto wake wamekula Nini wala wamelala vipi.
Zari anamwambia Diamond huwezi furahisha dunia wakati wakwako hawana furaha na wewe wala kuwajali.
View attachment 1430809
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo Sahihi.!Hv kaka ww mkeo akizaa sudan, hao watt watakua na uraia wa wapi?!
Au tunapenda ongelea vya watu visivyotuhusu
[emoji2][emoji2]Kinachomuuma Mond ni Kutemwa na Kunyimwa Bumunda la mrembo Zari amezoea kwa Ma X Wake wa kibongo anapashapasha viporo kwa zari Kanyimwa jamaa kasusa hadi watoto