Zari avunja rasmi mahusiano yake na Diamond Platinumz sababu ya kukosekana kwa uaminifu katika mahusiano yao

Ila bado kuna watu watawndelea kumfuatilia zarina hata baada ya kuwaachia mtu wao
 
Zari kafanya jambo jema sasa ni wakati wa Wema kuolewa na Diamond...
Mkuu hao ni wafanyabiashara ni kiki tu hiyo ili wapige pesa
Mchoro umeandaliwa vema,sasa album ya MTOTO WA TANDALE itaachiwa na itauza sana,mwisho wa siku Diamond atakwenda na magoti atahonga gari jipy atamkatia mgao wake zari maisha yataendelea
Mark my words!
 
Hiv zari alimkoseaga nn mange duuh maana sio kwa mineno ile
 
Domo na familia yake wamejaa MIDRAMA YA NGONO, Zari kafanya maamuzi ya maana sana
 
Ishu sio kucheat...respect man...cheat lakini jitahidi mwenzio asijue..usimvunjie heshima
 
Braza sikatai...ndio maana tunasema wasanii ni vioo vya jamii
Ni reflection ya jamii ilivyo
Kwamba wanayoyafanya ndivyo jamii ilivyo
Cha msingi...hata iwe vipi..ikotokea ume cheat...cha lazima ni kuwa msiri na kutomvunjia mwenzako heshima
 

sio wema sepetu yule

wala brand yake si TZ tu

huwezi post hii kitu worldwide, ana fans nje y tz

uko wrong
 
I smelled this before if real it is! Kwa uroho na ujana wa Diamond ni vigumu kuishi na bibi mmoja bila kucheat. Zari pia ana moyo wa nyama, anaumia!!!
Diamond ana moyo wa utumbo sio
 
Wakirudianaaa uje NA umbeaa kamaa huu wanaume mmgeuka ma...loh
 
It sound to me as though she's extremely frustrated with the way everything in her life is going/was going..especially love life.

Probably, Mond was a causative.
Absolutely
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…