Hata kama sio kwani atasema siku zote amuache Leo baada ya Jana wazazi kupatana mahakamani
ha ha ha ha na shuhuda kutoka kwa wadau, wazee wa hide my ID
Toka mtoto hadi mama busara hamna kwa upande wangu niliona ajabu siku wema alipopiga picha na mond za utata kisha mama yake anapost insta nyie pigeni majungu sisi tunapiga hela sasa unajiuliza mama anapiga hela gan kwa kujivua utu hadi kageuka kuwa mtumwa wa pesa kwa kushangilia uchafu wa mwanawe? Hatari sana nahisi hata elimu ukiikosa ni tatizo mama yake kageuka shangingi lake zari alikuwa sahihi kum-unfollow mana mama kichwa maji pa kutulia ausome mchezo kageuka shangingi.Braza sikatai...ndio maana tunasema wasanii ni vioo vya jamii
Ni reflection ya jamii ilivyo
Kwamba wanayoyafanya ndivyo jamii ilivyo
Cha msingi...hata iwe vipi..ikotokea ume cheat...cha lazima ni kuwa msiri na kutomvunjia mwenzako heshima
Tutaimba Ujana ujan mpaka lini? Diamond ni baba watatu. Hizo tabia hataziacha na hatuli. Atazaa na miaka 70 au askisepa ukimwiIla diamond hawatendei haki wanawake anawatumia vibaya sana na wanalia sana kwa maumivu machozi ni mabaya kwa nn uumize lundo la watu? Alitakiwa kuilinda brand yake mi nimpongeze zari kwa uamuzi wa busara pia familia yake haimpi muongozo mzur yani kila mtoto awe na mama yake? Maisha gani hayo bado diamond ujana unamsumbua hata atakokwenda atasumbua tu kairuhusu familia yake iingilie mahusiano yake ndo mana anayumba wazaz ukiwaruhusu kwenye hayo maamuz utajuta ilitakiwa kila mmoja atambue mipaka yake.
sio wema sepetu yule
wala brand yake si TZ tu
huwezi post hii kitu worldwide, ana fans nje y tz
uko wrong
Bado hana akili mkuu angalia hata interview zake akifumaniwa huwa anaongea utoto mwingi nakubaliana na ww kubadilika ni kazi kutokana na maisha aliyokulia ambayo hamna aibu wala ustaarabu.Tutaimba Ujana ujan mpaka lini? Diamond ni baba watatu. Hizo tabia hataziacha na hatuli. Atazaa na miaka 70 au askisepa ukimwi
Mwambie huyo anataka kutuchafulia haliya hewaNenda jukwaa la siasa kuja huku ni kiherehere chako
Akimuoa wema itakua uchiziii n sio uanaume ni uvulanaZari kafanya jambo jema sasa ni wakati wa Wema kuolewa na Diamond...
Huyu mwanamke Alikosea sana kuolewa na Yule dogo, dogo bado mshamba wa mademu anahitaji Kula wengi atosheke ndipo aoe!
Yaani zari alidhani dhambi ya kumuacha mume na kuchepuka na dogodogo ingemuacha salama? Machozi ya Ivan hayo bora angetulia na familia yake
Hana ubavu wa kumwacha Chibu yeye alibugi pale pale penzi lilipokuwa kwake angeng'ang'ania wafunge ndoa kwanza kabla ya yote hapo ndo kabugi. Na akifanikiwa ndoa drama zitakwisha.
Wengi tu tumefurahi dau amuoe Hamisa Ndio maana Mussa Alikua ana kiburi,, zari anavyopenda umaarufu sijui atazunguka na naniMange naona atafanya Sherrie, Ila mwenzie ako vzuri , yeye mpaka atukane ndo apate pesa
Naomba namba zake
Kufa kabisa tutakuzika wenzio ni shereheNimeweka msiba kwangu,nimelia toka Jana,
Hamuonekani ww wala numbisaNimeweka msiba kwangu,nimelia toka Jana,
Zigo la mavi sikuzote halibebeki mkuu, maana usipo lituwa kwa harufu basi utalishusha kwa uzito wake....[emoji13] [emoji13] [emoji13]