radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,440
- 32,260
Hata kama sio kwani atasema siku zote amuache Leo baada ya Jana wazazi kupatana mahakamani
Ila diamond hawatendei haki wanawake anawatumia vibaya sana na wanalia sana kwa maumivu machozi ni mabaya kwa nn uumize lundo la watu? Alitakiwa kuilinda brand yake mi nimpongeze zari kwa uamuzi wa busara pia familia yake haimpi muongozo mzur yani kila mtoto awe na mama yake? Maisha gani hayo bado diamond ujana unamsumbua hata atakokwenda atasumbua tu kairuhusu familia yake iingilie mahusiano yake ndo mana anayumba wazaz ukiwaruhusu kwenye hayo maamuz utajuta ilitakiwa kila mmoja atambue mipaka yake.