Zari avunja rasmi mahusiano yake na Diamond Platinumz sababu ya kukosekana kwa uaminifu katika mahusiano yao

Zari avunja rasmi mahusiano yake na Diamond Platinumz sababu ya kukosekana kwa uaminifu katika mahusiano yao

Hata kama sio kwani atasema siku zote amuache Leo baada ya Jana wazazi kupatana mahakamani

Ila diamond hawatendei haki wanawake anawatumia vibaya sana na wanalia sana kwa maumivu machozi ni mabaya kwa nn uumize lundo la watu? Alitakiwa kuilinda brand yake mi nimpongeze zari kwa uamuzi wa busara pia familia yake haimpi muongozo mzur yani kila mtoto awe na mama yake? Maisha gani hayo bado diamond ujana unamsumbua hata atakokwenda atasumbua tu kairuhusu familia yake iingilie mahusiano yake ndo mana anayumba wazaz ukiwaruhusu kwenye hayo maamuz utajuta ilitakiwa kila mmoja atambue mipaka yake.
 
Braza sikatai...ndio maana tunasema wasanii ni vioo vya jamii
Ni reflection ya jamii ilivyo
Kwamba wanayoyafanya ndivyo jamii ilivyo
Cha msingi...hata iwe vipi..ikotokea ume cheat...cha lazima ni kuwa msiri na kutomvunjia mwenzako heshima
Toka mtoto hadi mama busara hamna kwa upande wangu niliona ajabu siku wema alipopiga picha na mond za utata kisha mama yake anapost insta nyie pigeni majungu sisi tunapiga hela sasa unajiuliza mama anapiga hela gan kwa kujivua utu hadi kageuka kuwa mtumwa wa pesa kwa kushangilia uchafu wa mwanawe? Hatari sana nahisi hata elimu ukiikosa ni tatizo mama yake kageuka shangingi lake zari alikuwa sahihi kum-unfollow mana mama kichwa maji pa kutulia ausome mchezo kageuka shangingi.
 
Ila diamond hawatendei haki wanawake anawatumia vibaya sana na wanalia sana kwa maumivu machozi ni mabaya kwa nn uumize lundo la watu? Alitakiwa kuilinda brand yake mi nimpongeze zari kwa uamuzi wa busara pia familia yake haimpi muongozo mzur yani kila mtoto awe na mama yake? Maisha gani hayo bado diamond ujana unamsumbua hata atakokwenda atasumbua tu kairuhusu familia yake iingilie mahusiano yake ndo mana anayumba wazaz ukiwaruhusu kwenye hayo maamuz utajuta ilitakiwa kila mmoja atambue mipaka yake.
Tutaimba Ujana ujan mpaka lini? Diamond ni baba watatu. Hizo tabia hataziacha na hatuli. Atazaa na miaka 70 au askisepa ukimwi
 
Tutaimba Ujana ujan mpaka lini? Diamond ni baba watatu. Hizo tabia hataziacha na hatuli. Atazaa na miaka 70 au askisepa ukimwi
Bado hana akili mkuu angalia hata interview zake akifumaniwa huwa anaongea utoto mwingi nakubaliana na ww kubadilika ni kazi kutokana na maisha aliyokulia ambayo hamna aibu wala ustaarabu.
 
Kagoma hatoki boy Ooh ndoa wapi, Ndio maana Hamissa kiburi kingii
 
Huyu mwanamke Alikosea sana kuolewa na Yule dogo, dogo bado mshamba wa mademu anahitaji Kula wengi atosheke ndipo aoe!

Yule mwananmke ni mtu wa malengo. Alimfuata dogo kwa malengo, alifuata aliyenona. Hana hasara anajua fungu atalipata tu la kutunza watoto na kujirusha mwenyewe!
 
Hana ubavu wa kumwacha Chibu yeye alibugi pale pale penzi lilipokuwa kwake angeng'ang'ania wafunge ndoa kwanza kabla ya yote hapo ndo kabugi. Na akifanikiwa ndoa drama zitakwisha.

Unajua ndoa ina faida zake na hasara zake. Yule dada ni mwelewa alimsoma Chibu akaona hapa ni presha tu. Na kama wangefunga ndoa ingebidi wagawane mali zilizopatikana wakiwa wote... naona yeye aliangalia zaidi mali zake
 
Zigo la mavi sikuzote halibebeki mkuu, maana usipo lituwa kwa harufu basi utalishusha kwa uzito wake....[emoji13] [emoji13] [emoji13]

Kwa kweli halibebeki. Ila yule dada ni mvumilivu ile mitusi na masimango ya Instagram.... uwiiiii wengi wasingeweza kuvumilia. Pamoja na yeye kujitutumua kujibizana nao kaona isiwe shida Chibu wenu huyoooooooooooooo
 
Back
Top Bottom