Zari avunja rasmi mahusiano yake na Diamond Platinumz sababu ya kukosekana kwa uaminifu katika mahusiano yao

Atatembelea mikono,.tuombe mungu akifika asiambiwe rudi huko huko na mikono
kwa kwerrriiiii..... naskia ndo yuko nangulukuru anaitafta boda ya msumbiji......
jamani mkimuona huko mpeni lifti awah kufika

numbisa where you at?
 
DAI hajui mdem wengi walikuwa wanamtamani kwa kuwa yupo na Zari,mwanamke mzuri mwenye pesa mwenye class ya juu nje ya hapo madem watamkimbia sasa....
 
Haya yote yasingetokea kama wangekuwa wanaishi pamoja. Hapa mchawi ni umbali tu
 
Teh nlikua naisubiri hii siku, diamond anajikuta diamond kweli ilmradi fujo..... Bora kaachwa awe free sasa cha ajabu utashangaa yupo free hadi K zinakua za manati akiwa na mtu anapata mafuriko ya K.
Umejuaje mambo ya kiumeni?
 
usichanganye mambo Diamond mie ni shabiki wake mno, ila kwa aliyomfanyia zari hakuna mtu anapenda afanyiwe, wakina sie hatuna tu hiyo courage ya kutoa talaka.
Zari kanifurahisha sana ninaendelea kumpenda na diamond mie ni shabiki wa mziki wake.
Ndio maana Missa Alikua na kiburi kumbe Alikua anajua kila kitu
Ila dai Alikua hampendi zari kabisa Basi mapenzi ya showoff
Zari sijui anataka na Nani Tena na Ile team yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…