Zari avunja rasmi mahusiano yake na Diamond Platinumz sababu ya kukosekana kwa uaminifu katika mahusiano yao

Zari avunja rasmi mahusiano yake na Diamond Platinumz sababu ya kukosekana kwa uaminifu katika mahusiano yao

Atatembelea mikono,.tuombe mungu akifika asiambiwe rudi huko huko na mikono
kwa kwerrriiiii..... naskia ndo yuko nangulukuru anaitafta boda ya msumbiji......
jamani mkimuona huko mpeni lifti awah kufika

numbisa where you at?
 
Daby Nakubaliana na WEWE KUWA, KUCHEAT KWA MWANAUME SIYO JAMBO LA AJABU NA WAPO WANAUME VIWEMBE KULIKO DIAMOND NA PIA DIAMOND INAVUMA KWA SABABU NI MTU MAARUFU

LAKINI...

UNAPOKUWA MAARUFU MAANA YAKE WEWE NI PUBLIC FIGURE, HVYO NI MUHMU UISHI KAMA KIOO CHA JAMII NA KUWA MTU WA MFANO.

KAMA ALISHNDWA KUJIZUIA BASI ANGECHEPUKA KWA STAHA ILI KULINDA HESHMA YA MKEWE IKIWEMO

1. KUEPUKA KUZAA NJE
2. KUTOGEUZA NYUMBA WANAYOISH NA MKEWE GUEST HOUSE

HATA WEWE Daby HAKUNA KTU KIBAYA KAMA KUJUA MKEO ANACHEPUKA KWENYE KTANDA MNACHOLALIA SKU ZOTE..


MFANO: UHUSIANO WA NAHREAL NA HAIKA, NI UHUSIANO WA MFANO, INAWEZEKANA NAHREAL ANA MADEMU WENGNE LAKN ANALINDA HESHMA YA MKEWE.. SASA HUYU MOND YEYE ANACHEPUKA SHAGHALABAGHALA MPK MKE ANADHARAULIKA.
Haya yote yasingetokea kama wangekuwa wanaishi pamoja. Hapa mchawi ni umbali tu
 
Teh nlikua naisubiri hii siku, diamond anajikuta diamond kweli ilmradi fujo..... Bora kaachwa awe free sasa cha ajabu utashangaa yupo free hadi K zinakua za manati akiwa na mtu anapata mafuriko ya K.
Umejuaje mambo ya kiumeni?
 
usichanganye mambo Diamond mie ni shabiki wake mno, ila kwa aliyomfanyia zari hakuna mtu anapenda afanyiwe, wakina sie hatuna tu hiyo courage ya kutoa talaka.
Zari kanifurahisha sana ninaendelea kumpenda na diamond mie ni shabiki wa mziki wake.
Ndio maana Missa Alikua na kiburi kumbe Alikua anajua kila kitu
Ila dai Alikua hampendi zari kabisa Basi mapenzi ya showoff
Zari sijui anataka na Nani Tena na Ile team yake
 
Back
Top Bottom