Zari avunja rasmi mahusiano yake na Diamond Platinumz sababu ya kukosekana kwa uaminifu katika mahusiano yao

Zari avunja rasmi mahusiano yake na Diamond Platinumz sababu ya kukosekana kwa uaminifu katika mahusiano yao

Kiki of the century, wabongo sijui hadi lini mtakuwa mnachezewa vichwa
 
Hakuna Binadamu mkamilifu ila ni Ukweli kuwa Diamond kwa sasa anapitia kipindi Kigumu sana katika Maisha yake kiasi asipopata Washauri wazuri ndo utakuwa Mwisho wake ukizingatia amejitengenezea Maadui wengi pale anapopatia ridhiki ambao wote hao wanasubiri kwa Hamu mwisho wake!!!
Kwa kweli
Alafu na magonjwa!
 
Back
Top Bottom