miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
usifanye hivyo naogopa arasiiiNitakutaja kwa arasii akakupe ukweli wako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usifanye hivyo naogopa arasiiiNitakutaja kwa arasii akakupe ukweli wako.
Ndio uache kutumia unga wa lishe!usifanye hivyo naogopa arasiii
MOLA awaongoze katika njia ipasayo. ..kama wako kwenye uzinzi basi waache. .MTU ANAYEBARIKI BARAKA HAZITATOKA KWAKE NA ANAYE LAANI MABAYA HAYATATOKA KWAKE MILELE. .MOLA yupi?.
Yaani kabisa unawaombea wazinzi!!?.
naucha sa hivi kwa kweliNdio uache kutumia unga wa lishe!
Ilikuja automatically. Safi sana, hao watafika mbali. Mapenzi yasiyofika mbali ni yale wenye nayo wanajidai wanapendana.hakuvutiwa kimapenzi thats good
Msikilize vizuri kwenye hiyo video. ..hakumaanisha vibaya hata kidogoDiamond Kwanini asipige chini? Kama Yai kashasaidiwa analijua nini ana ngangania kwa Bibie huyu Zarinah? Jamaa amove on tu kama girl anatema shit ivi mkavu
kabisa au kuna kitu alispot on spotIlikuja automatically. Safi sana, hao watafika mbali. Mapenzi yasiyofika mbali ni yale wenye nayo wanajidai wanapendana.
Wote wametoka MTIBWA wamehamia SIMBA.Kwanza zari ni nani? Na diamond ni nani??
Hivi anaongea kiswahili kweli?jamani hakuna sehem ya ku edit khaaaa sio kwa mchapio huo, umbea huu
Nimekuelewa mkuu.MOLA awaongoze katika njia ipasayo. ..kama wako kwenye uzinzi basi waache. .MTU ANAYEBARIKI BARAKA HAZITATOKA KWAKE NA ANAYE LAANI MABAYA HAYATATOKA KWAKE MILELE. .
Binamu vi mwana vyote vya Dar vilishindwa kumzalia Diamond, huyu mwenye Kiswahili kibaya ndiyo amemfanya aitwe baba.kiswahili chke kibaya isewh kama tahira akiongea
Si wanasema zari ndo tajiri tena waliweka na picha ya magari yake yenye brand name ya zari.pesa na umaarufu
No!no!hakuvutiwa kimapenzi bali alivutiwa kimaisha kama vile mama wawili na mingi unafikiri ilikuwaje?Ninadhani alimaanisha haikuwa love at the first sight but it developed gradually since they met.