Zari: Hakuna kilichonivutia kwa Diamond nilipomuona mara ya kwanza

Zari: Hakuna kilichonivutia kwa Diamond nilipomuona mara ya kwanza

MOLA yupi?.
Yaani kabisa unawaombea wazinzi!!?.
MOLA awaongoze katika njia ipasayo. ..kama wako kwenye uzinzi basi waache. .MTU ANAYEBARIKI BARAKA HAZITATOKA KWAKE NA ANAYE LAANI MABAYA HAYATATOKA KWAKE MILELE. .
 
Diamond Kwanini asipige chini? Kama Yai kashasaidiwa analijua nini ana ngangania kwa Bibie huyu Zarinah? Jamaa amove on tu kama girl anatema shit ivi mkavu
Msikilize vizuri kwenye hiyo video. ..hakumaanisha vibaya hata kidogo
 
kama hakuna kitu kilicho mvutia kutoka kwa diamond sasa atawezaje kuwa na mahusiano nae na kumzalia watoto wawili.
 
MOLA awaongoze katika njia ipasayo. ..kama wako kwenye uzinzi basi waache. .MTU ANAYEBARIKI BARAKA HAZITATOKA KWAKE NA ANAYE LAANI MABAYA HAYATATOKA KWAKE MILELE. .
Nimekuelewa mkuu.
 
Ninadhani alimaanisha haikuwa love at the first sight but it developed gradually since they met.
No!no!hakuvutiwa kimapenzi bali alivutiwa kimaisha kama vile mama wawili na mingi unafikiri ilikuwaje?
 
Back
Top Bottom