Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Mwanamama Zari Hassan (45), anayejulikana zaidi kama Zari The Boss Lady kutokea Uganda amezua mjadala mzito baada ya kudai kuwa kuchepuka kwa mpenzi wako asiyetoa msaada wa kifedha "siyo usaliti bali ni namna ya kujihami."
Alizungumza hayo katika mahojiano na moja ya Podcast, alisema;
"Wanawake wanatakiwa kuchepuka, ukipata nafasi na kuna mtu huko nje yuko tayari kuwekeza kwako na kukuondolea msongo wa mawazo, tafadhali chepuka."
Kauli hizo zimegawa haraka hisia za watu mtandaoni, baadhi wameunga mkono na wengine wamechukulia maoni yake kama ukosoaji mkali kwa wenza wanaotelekeza majukumu yao.