Anatamani achepuke ili ahukumuwe kwa pesa za Wanaume wengine. Imagine and she is bos ladyPesa anayo lakini still ana tamaa za kifedha nimeanza kuamini maneno ya mondi alivyosema alifumania message za kimapenzi ya Zari na Psquare
Yule dogo shakib Cham sijui ni kichaa au ulimbukeni sijui Nini kinamfanya aendelee na huyu mama angalia anavyodhalilishwaAnatamani achepuke ili ahukumuwe kwa pesa za Wanaume wengine. Imagine and she is bos lady
Umalaya tuTunawambiaga humu ndani wanawake wote hata awe na Elimu gani au Pesa kiasi gani anawaza kuhongwa yeye Tu.
Oma hata mawazo ya Mtu anayeitw Boss Lady?
Hadi anashauri wanawake wachepuke sababu ya kuhongwa Tu. Sio anashauri wapate Kipato.
Wafrika mna akili gani lakini
Mshangazi uliotukukaAll in all zari ni lizuri na linapenda vijana kuliko kawaida aaaaani
Congrats mama Teeeh
Hapo Wee Unashaurije????
Huyo Ivan mwenyewe alikuwa mpgj tuHuyo empty head achana nae,
Alipotimka madale kwenda kudai urithi wa Ivan nikajua ili tapeli tu.
Same kuna mwadada hapo alikimbia haraka sana msibani kulia apewe ulisi,kapewa ndo kwanza katundika bango kwa ng'ombe ingine.
Wote walikua wapigaji tu,Huyo Ivan mwenyewe alikuwa mpgj tu
Ova