Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Hakika.Hata wale wavuta bangi na mashangingi/vyangudoa wa zamani siku hizi nao ni wazee wenye mapengo na vibyongo.Hii dunia inapoelekea kutatokea wazee wa hovyo ambao hawana ushauri wowote kwa kizazi kijacho
Ni suala la fedha tu.Kitandani watatumia hata mbinu mbadala bila huyo mtoa fedha.Kuhudumiwa kwa namna gani? Kukazwa kitandani ama kupewa matunzo?
Amesema kifedhaKuhudumiwa kwa namna gani? Kukazwa kitandani ama kupewa matunzo?
🤣🤣🤣Hawa wanawake Diamond atawaletea shida ya akili😀
Tunawambiaga humu ndani wanawake wote hata awe na Elimu gani au Pesa kiasi gani anawaza kuhongwa yeye Tu.Alizungumza hayo katika mahojiano na moja ya Podcast, alisema;
"Wanawake wanatakiwa kuchepuka, ukipata nafasi na kuna mtu huko nje yuko tayari kuwekeza kwako na kukuondolea msongo wa mawazo, tafadhali chepuka."
Tayari wivu umemwingia, kumbe alikwenda kwa Mondi ili Mondi awekeze kwake? She is in depressionHawa wanawake Diamond atawaletea shida ya akili😀
Miles nyingi diamondi angezipeleka wapi? Ilikuwa ni shobo tuBinafsi nilimlaumu sana Diamond kuachana na huyu mama niliamini ni mtu sahihi kwake na yeye ndio mwenye shida sio Zari lakini kwa trend yake anayoonesha nimeona Diamond alikuwa sahihi kuachana nae. Wanawake aina ya Zari hawawezi kudumu kwenye ndoa hata mahusiano kwanza anakiburi alafu ni talkative sijui kwanini yule dogo shakib Cham aliamua kujitwisha gunia la Msumari kwa huyu mama
Waliodai hakuna Ke anayejimudu kiuchumi na akataka pesa za matunzo kwa bwana/mume/boy friend wako wapi?Hawa wanawake Diamond atawaletea shida ya akili😀
Pesa anayo lakini still ana tamaa za kifedha nimeanza kuamini maneno ya mondi alivyosema alifumania message za kimapenzi ya Zari na PsquareTayari wivu umemwingia, kumbe alikwenda kwa Mondi ili Mondi awekeze kwake? She is in depression