"Two stimulus repeatedly paired together" mamiii Smart911 kanibadilisha na kunifunza mengi sana kwakweli mungu ambariki tuMahonda kawa mpole kweli
Hongera kaka smart kwa kweli mi mawaombea tu wafikie agano la Mungu kwa moyo mmoja!
Japo wengine jf wanahisi pa kuja kumalizia hasira za Magu!
Hongera sana!
Natamani sana kujua id yako ya zamani..
Hahahahaha ila wewee lol! Mbona kwa kaka mkubwa the jf great witch doktare tunguli halijaandamana tehteh!! [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]mtoto wa mjini " super star wa miaka 29 aoe ""hata ukiroga ili upate ndoa tunguli lazima "" zibishane
Haaahaaa...Ahmada umelewaDiamond anampenda sana Zari sana tu. Na haya yote anayofanya ni stress za kuachwa na Zari. Kwanza amekonda vby hana nuru kama alivyokuwa na Zari. Nasikia pia kawa Ahmada ile mbaya.
hahaa yule hazija andamana kwa sababu yupo 35s age ...so kiasi kaula ujana"" ijapokuwa nyonga mkaliaini wake sijajua makadirio ya umri wake but sitaki kuamini kuwa amemzidi umri le doctareeeeeHahahahaha ila wewee lol! Mbona kwa kaka mkubwa the jf great witch doktare tunguli halijaandamana tehteh!! [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Cc Smart911
Huyu jamaa hata mimi nimebaki nawaza kuhusu jinsia yake.Jinsia yako mleta mada please!
Hapo ulipomalizia kwa kuandika;
"Na wewe domo nina kichambo chako"
Hii sio kauli ya kianaume hata kidogo ,kama wewe ni Me basi una hasara kubwa sana!!
Baeleze baelewizari hapotei kwenye social medias leo wala kesho!
WITH OR WITHOUT NASEEB!
Wabongo kazi mna iwezaDiamond anampenda sana Zari sana tu. Na haya yote anayofanya ni stress za kuachwa na Zari. Kwanza amekonda vby hana nuru kama alivyokuwa na Zari. Nasikia pia kawa Ahmada ile mbaya.
[emoji574][emoji470] [emoji470] [emoji470] [emoji470] [emoji470] [emoji470] [emoji470] [emoji470] [emoji470] [emoji470]
Mshafungwaaaa!!!panda mpk nyungo ndo mshafungwa[emoji574]
Nshapanda ndege
Haya usku mwemaMshafungwaaaa!!!panda mpk nyungo ndo mshafungwa
Nitajie huyo aliyekuambia kwamba huyu mtu ni mwanaume.Wanaume wengi wa siku hizi hawajui walifanyalo!roho inaniuma sana nikiona vijana wa kiume wamekuwa walaini hivi yaani wamelegea.daahh mungu saidia hiki kizazi
Mchana wako huooo[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Haya usku mwema
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Mchana wako huooo[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Poa poa Ngoja niende jukwaa la sports[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Haya sports njemaPoa poa Ngoja niende jukwaa la sports
Kule raha leooo!!!![emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Haya sports njema