Zari mwanaume haachwi; Ulicheza faulo

Zari mwanaume haachwi; Ulicheza faulo

Mahonda kawa mpole kweli

Hongera kaka smart kwa kweli mi mawaombea tu wafikie agano la Mungu kwa moyo mmoja!

Japo wengine jf wanahisi pa kuja kumalizia hasira za Magu!

Hongera sana!
"Two stimulus repeatedly paired together" mamiii Smart911 kanibadilisha na kunifunza mengi sana kwakweli mungu ambariki tu
 
Tuliroga ukatoka kwa nyani ngabu bado tunasololea uje kwetu nasi tuonje utamu! Kabla ya kuuonja tunashangaa unaanzisha ugomvi na akina Numbisa na warumi hii ni hatari unaweza kudead kabla hatujafaidi utamu wako! Subiri tuuonje ndipo uendelee na hayo maligi mama. Nadhani utaacha
Natamani sana kujua id yako ya zamani..


Cc Smart911
 
Hahahahaha ila wewee lol! Mbona kwa kaka mkubwa the jf great witch doktare tunguli halijaandamana tehteh!! [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]


Cc Smart911
hahaa yule hazija andamana kwa sababu yupo 35s age ...so kiasi kaula ujana"" ijapokuwa nyonga mkaliaini wake sijajua makadirio ya umri wake but sitaki kuamini kuwa amemzidi umri le doctareeeee
 
Diamond anampenda sana Zari sana tu. Na haya yote anayofanya ni stress za kuachwa na Zari. Kwanza amekonda vby hana nuru kama alivyokuwa na Zari. Nasikia pia kawa Ahmada ile mbaya.
Wabongo kazi mna iweza
 
Wanaume wengi wa siku hizi hawajui walifanyalo!roho inaniuma sana nikiona vijana wa kiume wamekuwa walaini hivi yaani wamelegea.daahh mungu saidia hiki kizazi
Nitajie huyo aliyekuambia kwamba huyu mtu ni mwanaume.
 
Back
Top Bottom