Zari mwanaume haachwi; Ulicheza faulo

Jinsia yako mleta mada please!

Hapo ulipomalizia kwa kuandika;

"Na wewe domo nina kichambo chako"

Hii sio kauli ya kianaume hata kidogo ,kama wewe ni Me basi una hasara kubwa sana!!
Wanaume wengi wa siku hizi hawajui walifanyalo!roho inaniuma sana nikiona vijana wa kiume wamekuwa walaini hivi yaani wamelegea.daahh mungu saidia hiki kizazi
 
Haaa haaaa! Naona unafuata nyayo za mange kimambi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haki kuachwa Kubaya. Now kafunga CCTV camera imekuwa Shida. Mwanamke huyu????????
Kafunga kwake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] amekaribia akienda kunya atasema tukae tayari
 
Tatizo unaandikaga magazeti putin nishakudharauu
 
Diamond alikutana na ganda la ndizi. Alikua anapenda kulelewa na anavyopenda show off tena yuko na bibie mwenye wadhifa, akajiona keshafika.

Zari ni mwanamke anayejielewa na anajua anafanya nini. Huyo mond aendelee na huo msululu kwakua anadhani ustaa ni kudate na wanawake wengi
 
Kama vya kuhongwa hata sisi tunahongwa tu kufikia umri wa zari tutakuwa nayo hata sisi,labda we ndio unatishika kwa vitu alivyonavyo zari,,k lyn akianza kujitapa hadi vikombe si tutakufa jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…