Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unazungumzia kichwa ganyi?[emoji56]Natamani Diamond atie japo kichwa tu huku chini
Ushamba mzigo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Alitoka na majagi dubai yana rangi ya dhahabu akapiga nayo picha nyingiii,nilichekaa
Wabongo tulivyo na shobo tukaanza kumshobokea kumbe kawaida sanaStar kaupatia bongo kwingine wala hawana habari na zari hata followers kawapata kisa daimond atushukuru watanzaniaa,sasa hivi akija hakuna anaejuaa wala
Eti tukisema twaitwa lowlife kwani anatulisha au tunavyoishi tunamtegemea kwanza tu bora katuachia daimond wetu ,dai mjanja alichenga ndoa mpaka basiUshamba mzigo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mtaambiwa maheta wa Zari jamani,mwenzenu mpk vijiko vipya anaonyesha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haki kuachwa Kubaya. Now kafunga CCTV camera imekuwa Shida. Mwanamke huyu????????
Uliona alivyokuja hakuna hata aliekuwa na habari nae halaf mtu anasema zari kampa umaarufu daimond nani kasema juhudi zake ndio zimemfikisha hapo na sio wanawakeWabongo tulivyo na shobo tukaanza kumshobokea kumbe kawaida sana
Misukule tuu kwa life gani labda atutishe kuhongwa hata sie twahonga na kama hakuna anaenunuliwa bando hapa!Eti tukisema twaitwa lowlife kwani anatulisha au tunavyoishi tunamtegemea kwanza tu bora katuachia daimond wetu ,dai mjanja alichenga ndoa mpaka basi
Kama vya kuhongwa hata sisi tunahongwa tu kufikia umri wa zari tutakuwa nayo hata sisi,labda we ndio unatishika kwa vitu alivyonavyo zari,,k lyn akianza kujitapa hadi vikombe si tutakufa jamani
Ingekua wanawake wanampa umaarufu asingemuacha Wema akaenda kwa Zari,maana Wema alikua na fan base kubwaa mnoo!!!Uliona alivyokuja hakuna hata aliekuwa na habari nae halaf mtu anasema zari kampa umaarufu daimond nani kasema juhudi zake ndio zimemfikisha hapo na sio wanawake
Kwani zari kuna kipi hapo alichokitolea jasho,biashara zake binafsi zilikufa kitambo,ashukuru kuzaa na ivan kumemuokoa kidogo,nasikia ile nyumba ya SA mmepanga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Waaaaiiii wapi nimetaja kuhongwa eee au ndo ile panic attack mpaka mnataja kuhongwa nyumba na ex dodoma hahahaha
Kwani zari kuna kipi hapo alichokitolea jasho,biashara zake binafsi zilikufa kitambo,ashukuru kuzaa na ivan kumemuokoa kidogo,nasikia ile nyumba ya SA mmepanga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shangaa kazi kushobokea malaya wa kigandaMisukule tuu kwa life gani labda atutishe kuhongwa hata sie twahonga na kama hakuna anaenunuliwa bando hapa!
Dai hawezi oa ex porn star bwanaa!hivi we ungekubali ndugu yako ungekubali aolewe na yule?!
Watoto watano halafu baadhi ya wanaume wa kibongo umalaya wa Zari wanauita strong woman ila kina Hamisa na Wema wanawaita Malaya!!
Wabongo si wana roho mbaya ndo maana Umalaya wa Uganda sifa ila wa bongo hapa eti wanajidhalilisha wakati Malaya Malaya tu,tena bora wa kwetu hawajajipiga dildo live kwenye Skype!!!dunia nzima ikaona K yaani haifutiki vizazi na vizazi ile!Shangaa kazi kushobokea malaya wa kiganda
Zari maamaa watu wana umwa vby juu yako. Endelea kuwachoma tu Jumamosi Nairobi colour purple.