Uende usiende Mimi cha msingi ni kuonja K yako tuKumbeee tenaaa makubwaaa Narumuk mimi Us ntaenda mbona na siku nikienda humu mtakojoaa Narumuki utalazwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uende usiende Mimi cha msingi ni kuonja K yako tuKumbeee tenaaa makubwaaa Narumuk mimi Us ntaenda mbona na siku nikienda humu mtakojoaa Narumuki utalazwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Am sad leoKule raha leooo!!!![emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mie Mgeni mama ila kutangulia si kufika
Pambana na sad yako!!Mimi kwangu woyooooo!!!Am sad leo
SawaPambana na sad yako!!Mimi kwangu woyooooo!!!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Leo wa matopeni mmelowaSawa
Shoga.....Kuelezea kawaida tu mbona zari alienda kuelezea hadi BBC,sikujua unanichukia kisa bwana yule mchukue kabisa tutakupongeza kubeba mzigo ule
We yanga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Am sad leo
Binam unakuja mambo yashapoa kwendraaaNimerudi binamu, umeona diamond anawachamba wanaosema nillan sio mtoto wake, yule soon atarud kwa zari
EeehWe yanga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umekimbia kisa warumi,siku zote huku pamepoaa pamekufaaAaah binamu watu wameona Title warumi lazima wajazane, aaaah lol
Utapatwa ugonjwa wa moyo mara mafuriko mara pesa hamna,hamia simba upate rahaEeeh
AaahUtapatwa ugonjwa wa moyo mara mafuriko mara pesa hamna,hamia simba upate raha
Hata zari alianikwa akaiabishwa na akaachwa juuIla hamisa Ana gundu, couple yake na domo hata haionogi , mbona diamond anajificha ficha hata amtangazi mmh hamisa nae Ana moyo, side chick ndo hadhi yake
vice versa is true sasa si hiyo yakoZari sasa hivi anatamani kurudi ila waaapi!too late to catch the train!