Zari na wanaye (Tiffa na Nillan) watua Tanzania

Na ndio maana imebidi tu arudi kwa Diamond licha ya kupigwa matukio na yeye karudi kisa umaarufu tu basi hapo, uzuri yeye huwa mjanja hupata ma deal makubwa
Sana. Ni mwanamke mwerevu sana. Amechukua umaatufu,then ameutendea haki,anapata matangazo mazuri tu yenye hela. Sio kama akina w.sepenga,wamepata umaarufu wanauza nao sura tu
 
Na ndio maana imebidi tu arudi kwa Diamond licha ya kupigwa matukio na yeye karudi kisa umaarufu tu basi hapo, uzuri yeye huwa mjanja hupata ma deal makubwa
Sana. Ni mwanamke mwerevu sana. Kachukua umaarufu kautendea haki,anapata matangazo. Kwa sasa anajulikana kabisa. Sio kama w.sepeng,umaarufu wanapiga nao picha
 
Kampa kiki au wamepeana. Diamond kafanya mangapi na hamna hata aliyekua na time naye. Check alivyokuja zari kila kona ni wao tu. Wale nyota zao zinang'aa wakiwa pamoja. Habari ndio hiyo
Hakuna hiyo. Diamond hata bila zari,tayari nyota yake ilikuwa juu na bila zari bado alikuwa juu na angeendelea kuwa juu kama alivyo sasa. Zari ukiachilia bongo hata zingine za Afrika alikuwa hajulikani kabisa. Amekuja kuwika baada kukutana Mond. Habari ndio hiyo
 
Wema ndio apewe credit ndio alimng’arisha na diamond na sio zari zari ka kura dai kawa maarufu kitambo
Alivyoachwa zari akapotea,umaarufu wa zari anategemea daimond
 
Wamepeana kiki.
 
Kama wema mng'arishaji mbona hang'ai peke yake?
 
Guys zari nampenda sana. Ni mwanamke shipavu. Na alimpa domo heshima kubwa sana. Kama wamemaliza ugomvi wao basi furaha yangu ipo juu sana, nlikuwa natamani sana chibu warudiane na huyu mama.
Usemi huu mbaya domo?
 
Sijui ni akili yangu ama?? Naona zari hajakosea kuwaleta watt wake kwa baba yao. Na huwez kuwaleta nikaondoka ama ukawa hotelin ikiwa wanakuja kwa baba yao. No ngumu sana kumleta mtt kwa baba day utakaa hotelin wakati nyumban wapo where they can feel comfortable and have their freedom. WAtu wanadhani anatafuta kuongelewa vipu kwan tika aachane na chibu hajaishi maisha bora zaidi?
wanawake ndo zenu kupeleka watoto kwa Baba yao kumbe mmekumbuka Mkuyenge, mmeu miss vibaya sana. hapo Mondi akisema mama geuka!! lete papuchi! atamnyimaa? halafu huwaga mnajiswafiiiii
 
Mwishowe waje wamuue kwa pressure maana tangu aanze drama na zari kina mobeto Hadi tanasha diamond Hana nuru kabisa usoni, mahusiano huwa ni mwiba mchungu
Best nuru inaletwa na mahusiano?
 
Basichana sijui mabinti.. wasiofahamu.. ya mapenzi.. utawajuwa tu.. kama hamuwezi kubaweka wanaume kwa mikono.. hamushangazi kumchambua mwanamke.. eti Diamond hamupendi... shooo. kama hampendwi nyie.. mumfikiri kuona kamkumbatia muda yote ndio kuonyesha kupenda.. acheni wivu.. mukamate wenu mupendweeeee.. ila mumeshushuka wengi humu.. eti mikono.. kwani mtu hanenepi!!!! kutofautisha picha ya miezi nyuma na sasa.. ni wivu tu... nabapa pole nyinyi..
🤣🤣

Kuna mtu aliwahi kunijia pembeni akaniuliza kama Coco ni Mcongo.

Mi sijui kwa nini alikuja kuniuliza mimi.
 
Basichana sijui mabinti.. wasiofahamu.. ya mapenzi.. utawajuwa tu.. kama hamuwezi kubaweka wanaume kwa mikono.. hamushangazi kumchambua mwanamke.. eti Diamond hamupendi... shooo. kama hampendwi nyie.. mumfikiri kuona kamkumbatia muda yote ndio kuonyesha kupenda.. acheni wivu.. mukamate wenu mupendweeeee.. ila mumeshushuka wengi humu.. eti mikono.. kwani mtu hanenepi!!!! kutofautisha picha ya miezi nyuma na sasa.. ni wivu tu... nabapa pole nyinyi..
Wewe mkimbizi toka burundi,hakuna mtanzania anachapia hizi...ccm imejaa wakimbizi
 
Back
Top Bottom