cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
mwanamke anayempenda mume wake, kamwe hawezi kumruhusu awatembezee wanawake wengine nje..
Ha ha haaaaaa
Hiyo ni kwamba jaribu tena utanijua nitakutupilia kule ukiniingiza kwenye ngono zako. Zari anajijengea brand yake na warning alishampa ChibuDee hasimuingize.
Nafikiri wengi walitegemea ataponda kwa kideo.. ana akili sana huyu Zari.. ya nyuma ya pazia uamuzi wake anaujua yeye.. na tunajua Hamisaa na matusi yake kwake anaweza akaogopa hata kumsogelea.. amempa safi sana sana.. mtoto wa mistake na mama yake alijua anataka kujaribu kuwa Zari kitu ambacho hadi kesho anashindwa kuwa hata kwa 0.1%
Hamissa libomu linalia na ubomu
Baada ya kushindwa Uganda juzi na kuwa kituko akajaribu na hii