Zari: Siko tayari kuzaa tena, I am Tired. Diamond azae tu hata watoto 20

Zari: Siko tayari kuzaa tena, I am Tired. Diamond azae tu hata watoto 20

mwanamke anayempenda mume wake, kamwe hawezi kumruhusu awatembezee wanawake wengine nje..

Ha ha haaaaaa
Hiyo ni kwamba jaribu tena utanijua nitakutupilia kule ukiniingiza kwenye ngono zako. Zari anajijengea brand yake na warning alishampa ChibuDee hasimuingize.

Nafikiri wengi walitegemea ataponda kwa kideo.. ana akili sana huyu Zari.. ya nyuma ya pazia uamuzi wake anaujua yeye.. na tunajua Hamisaa na matusi yake kwake anaweza akaogopa hata kumsogelea.. amempa safi sana sana.. mtoto wa mistake na mama yake alijua anataka kujaribu kuwa Zari kitu ambacho hadi kesho anashindwa kuwa hata kwa 0.1%

Hamissa libomu linalia na ubomu
Baada ya kushindwa Uganda juzi na kuwa kituko akajaribu na hii

20171226_082445.png
 
mwanamke anayempenda mume wake, kamwe hawezi kumruhusu awatembezee wanawake wengine nje..
Dini yao inaruhu wake wanne. And she is aware Diamond is still a young blood . Yeye umri kumtupa haimzuii Diamond kuendelea zaa.

Only that Diamond ajiheshimu...na asitapanye mbegu hovyohovyo..
 
Kweli hiyo ni biashara, yaani yuko relaxed kabisa!! Hivi anaempenda bwanake anamruhusu azae tu!!
Hainiingii akilini kwakweli, unless kuna jambo nyuma ya pazia.

Alafu jamani mtu kusema hana tatizo na mtoto haimaanishi anaweza kumtreat vizuri mtoto huyo, hayo ni maneno tu ya kuongea kwenye media, ila kwa hasira ile aliyonayo juu ya mama wa mtoto, mama wa mtoto asijemruhusu kabisaa kuishi na mwanae. Bora tu amlee mwenyewe.
 
Mwanamke ambaye anaruhusu mumewe kuzaa nje sio mfano wa kuigwa hata kidogo.
Eti watu wanasema strong woman, mara ana akili sana...ukiangalia style ya maisha ya huyu dada inashangaza....ana maadili sifuri...ndio wale wale. Na hayo anayoongea na kusifiwa nayo kuhusu kuzaa zaa nje watoto hata 20, ni kwa sababu naye ni wahivohivo.
Hakuna akili yoyote au busara katika kuzaa zaa ovyo watoto na wazazi/wenza tofauti tofauti.
 
Huwezi linganisha zari na wanawake wa kwetu wanaozaa watoto wawili wanakuwa right off. Zari akiamua atazaa hata wengine watatu.

Mobeto akili zake anazijuwa mwenyewe. Kilichofanya akafanye show siku ya White part ya zari ni upuuzi. Hawezi shindana za zari hata apasuke.
Hata kwetu wapo waliozaa watoto wengi na bado wako vizuri, tambua mwanamke ni matunzo tu. Wanaojitunza wapo wengi tu, cha ajabu eti kwa Tanzania nzima haujaona mwanamke kama Zari!!! Kweli zari kajua kuwakamata.
 
Kigezo kikuu cha mwanaume kuvumilika kwa matendo yake mabaya na mkewe..ni kuwa na fedha nyingi....na umaarufu wa kutukuka..
Ofcoz mama hakiwa hana cha kujivunia kwako ni msala, ukizingua hajiulizi mara mbili maana hana cha kupoteza!
 
Hata kwetu wapo waliozaa watoto wengi na bado wako vizuri, tambua mwanamke ni matunzo tu. Wanaojitunza wapo wengi tu, cha ajabu eti kwa Tanzania nzima haujaona mwanamke kama Zari!!! Kweli zari kajua kuwakamata.


Kwahiyo wewe ulitaka kusikia hapo Zari akisema..." Diamond akome na asije mleta yule mtoto kwangu".."na akija fanya ujinga huo mimi na yeye basi"...

Muacheni Zari awafundishe maisha...most jinsi ya kuongea ktk media.
 
Kauli hiyo usiipeleke kwa mkeo utaleta balaa. Acha aipate kwa njia zake.
 
Mwanamke ambaye anaruhusu mumewe kuzaa nje sio mfano wa kuigwa hata kidogo.
ulitaka amuhasi ili asitoke nje ya ndoa? au atumie ushirikina kama nyie wabongo mnavyofanya? kampa choice kama ataona inampendeza kufanya anayoyafanya hiyo ni juu yake sio kosa la mwanamke yeye kampenda jamaa inabidi ambebee na madhaifu yake, wala sio kwamba kamwambia endelea kuzaa watoto nje unawaleta nitakuleleea. katumia falsafa ya hali ya juu. mimi sizai tena yeye akitaka atafute mtu wa kuzaa naye hata waoto 20 kwa kauli hiyo siku nikisikia Diamond kazaa mtoto mwingine nje nitajua moja kati ya haya ni sahihi. 1. diamond anataka kumfukuza zali ila anamtafutia sababu. 2. Mbwa ni mbwa hata avae suluali na viatu bado atakuwa mbwa tu.
 
Back
Top Bottom